Habari zenu waungwana.
Kwa kifupi nina mda wa miaka 2 na huyu fiance wangu wa kizungu. Hapo mwanzo tulikuwa tunaishi kwa upendo, amani na uaminifu wa hali ya juu. Nlikwenda nnapotaka, nlifanya...
Misingi ya ndoa, inabainisha kwamba mwanaume wengine ni kichwa cha nyumba.Hivyo basi ni jukumu la mwanamke - msaidizi kuhakikisha kwamba kichwa kinafunction bila vikwazo ndani na nje ya nyumba...
Tamko 1:
Wanaume wote wenye mahusiano ya kingono na wasichana wao wa kazi "Househelper/housegirl" wana hadhi ya u-houseboy. haijalishi elimu, cheo, fedha au kazi yake, akili yake ni ya houseboy...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Happy Valentines People!
Jana bwana i spent the night with my longtime pal, navosema...
Mimi ni kijana nina ndugu zangu tunakutana kwa baba ambao ni 7 wakike 5 wanaume ni 2 mimi mama yangu amefariki nikiwa na miaka 5 nimelelewa na ndugu tofauti.
Nilipofikia umri wa kuanza shule baba...
Habari wana Jamii Forums.
Kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukumu ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha...
Celebrates victories within his family knows that when his family wins, they will want to win again maximizes what God is doing within his family knows that Jesus never allowed public opinion to...
Natafuta msichana aliye tayari kutunzwa. Mimi ni mtoto wa kigogo hapa nchini. kwa sasa nafanya biashara pia mbunge mtarajiwa.
Naishi Oysterbay kazi yangu ni kuwachukua warembo wakali hasa wa...
Kutokana na mabadiliko ya ulimwengu imekuwa ni vigumu kuwalea watoto katika njia sahihi. Thread hii maalum kwa sisi wazazi tufunzane hapa.
MTOTO UMRI MWAKA 0 HADI 5:
Mtoto kwenye kundi hili...
Habarin wapendwa...!
Kuna suala linanitatiza, kuna mdada nlikuwa nafukuzia miez kadhaa iliyopita na nlikuwa na lengo naye zuri tu ila akanikatalia, cha ajabu ameanza kunipigia simu muda mwingi...
Mambo vipi girls.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike aliye Dar es salaam kwa aliye tayari anitafute kupitia.
Namba 0683076985.
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa...
Hili ni swali ambalo anaweza akajibu mwanaume/mwanamke kwamba; kwanini wanaume wengi huwa hawa-appreciate anachokifanya mwanamke.
Yaani mwanaume hata atakosoa, ama ataponda, ama atakuwa na...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga...
Salaam wakuu.
Mimi ni mgeni Jamii Forums ila hiki kisa kimefanya nije huku,naona niandike hapa angalau nipunguze hasira zangu.Kuna binti ni mdogo wake na shemeji yangu ambaye amekuja hivi...
Habari wana MMU.
Jana ilikuwa siku ya wapendanao kama wengi wanavyoiita,maalufu kama Valentines day.Binafsi siku hii huwa sina muda nayo kwani sioni la maana katika maadhimisho yake.
Nina rafiki...
Nampenda boss wangu nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha.Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia. Nifanye nini anitoke?
Sijui tuite ni fumanizi au ni ngoma droo,mume katoka na mchepuko, mke naye katoka na mchepuko wote wamekutana eneo moja la kufanya uzinzi. Bila kujua kama vile walipanga wote wakabaki wameduwaa...