Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui pia ni wanawake wamechoka kulea wanaume wa mjini wanaojullikana kama mario,au ni maoni ya mwandishi tu,je ni kweli kiama chao kimefika ukingoni sasa,hasa pia wale wote wanaoishi kwa mwanamke
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Tall, dark and handsome may not be the ideal man after all. According to new findings, short men make better husbands. The new study claims that shorter men also do more housework, earn more money...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vijana wengi sana wanatamani kuoa na kuolewa,yote ni kwa sababu hawajui maana ya ndoa,ndoa ni zaidi ya maisha,ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi,ndoa ni zaidi ya uvumilivu,ndoa ni mateso mazito sana...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Ni majanga yayolimkuta rafiki yangu wa karibu siku moja alichukua demu maeneo flani morogoro mjini ili akaliwaze nafsi yake baada ya show msichana akamtega jamaa akiwa amelala akamchapa pesa zote...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna mkaka mzuriii, back in the days alikuwa mzuriii, hb wa kijiji, sasa ikawa kila mdada kijijini...
17 Reactions
66 Replies
8K Views
Jamani yani huyu mwanamke simuelewi kabisa, kwa sababu sijui namba yangu alipata wapi akanitongoza na hatujawahi kuonana lakini siku hizi ananilazimisha tuonane ili anipe penzi, hivi ni mtu mwema...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kuna rafiki yangu alikuwa na mchumba wake ambaye tiyari walikuwa na ahadi yakuoana but hawakuwahi kukutana kimwili.lakini kwa habari za kuambiwa na tabia ya kukangua simu ya mpenzi wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kama story but huwa inatokea. MUME:Darling nina kikao mkoani kesho pls niandalie nguo zangu. MKE:Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua? DADA:Ndio nimepanga kabatini.mama anarudi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumekuwa tukiskia kuwa ndoa sio lelemama kweli nimeamini nina mifano mingi sana ambayo bila kumuona mtalaamu wa saikojia kuoa jibu ni no umri umeenda ila kila nikijiuliza jibu linazidi kuwa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Yaaani huyu mpenzi wangu nampenda kwelikweli lakini anaongea mno. Tupo nae mwaka mmoja, kozi moja, sasa kila tutachofanya atawasimulia room mates wake. Tukipanga kwenda gesti atawaambia...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari. Natafuta msichana mke muislamu mwenye umri kati ya miaka 22-30. Kwa aliye serious ani Pm.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Helo wanaJamii. Nimeanzisha uzi huu ili kusaidiana kati ya wanaume na wanawake ambao wapo katika ndoa inapotokea mwanamke kakimbia kwa mumewe kwa visingizio mbalimbali. Hasa wanapotumia neno...
4 Reactions
129 Replies
12K Views
Habari za jioni wadau, Samahani na nlikua naomba msaada wenu katika selection ya engagement ring na wedding ring mana mimi ni mgen katika hii sekta na mtarajiwa wangu kaniambia chochte...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi naomba msaada wa ushauri jinsi ya kumshauri shemeji yangu mke wa rafiki yangu! Nina rafiki yangu wa siku nyingi nahisi anakaribia miaka hamsini sasa (50), ana mke mzuri sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine nasikia hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla...
8 Reactions
171 Replies
35K Views
Naitwa manyama ni mtoto wa pili katika familia ya mzee kapanga familia ya mzeee komba ni mda mrefu sana familia yangu imekua ikinisumbua juu ya kuoa sasa mimi naoa kama utumwa vile nataka...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Nyie akina dada/mama mlioolewa hivi kuna haja sana ya kujipodoa kama mabinti ambao hawajaolewa.Sisemi msiwe nadhifu lakini mimi huwa namchallenge mke wangu anapokuwa anahangaika kwenda saloon...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau hawa wasichana hawapo serious kabisa, kuna binti mmoja mkazi wa Mtwara tuliwasiliana juzi na kukubaliana aje kunitembelea hapa kwangu Ubungo. Hatimaye akakubali na ili nimuoneshe kua nipo...
3 Reactions
140 Replies
16K Views
Hapa namaanisha kutamani kungononoka na refer tabia zetu sie wanaume tunatamani mwanamke yeyote awe mke wa mtu au asiye mke wa mtu, ilimradi ana umbo na sura nzuri hata kama anapete sabini...
3 Reactions
105 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…