Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani nishaurini. Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c. Sijamwelewa But imebidi nikubali...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Msichana au mwanamke anahitajika just kwa kujenga urafiki, kubadilishana mawazo na kimaisha na mambo mengine ya umuhimu umri kuanzia 18 to infinite, unakaribishwa ukivutiwa na post yangu. Karibu pm.
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Asalaam aleikhum wadau wa MMU. Huwa najiuliza bila kupata majibu,nimesikia wengi wakisema "hapendwi mtu inapendwa pochi" na maneno kama mwanamke anaangalia pesa ya mwanaume sio sura".Hapa ndipo...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Habari wana Jamii Forums. Tayari nipo kwenye mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa katika mahusiano kama miez 6 kwanza ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye...
0 Reactions
264 Replies
30K Views
Habari wana MMU. Leo natoa somo kwa wadada/wasichana linalohusu upishi.Kujua kupika nayo ni muhimili mmojawapo unaoshikilia ndoa.Wadada hawa wa kizazi kipya wengi wao hawajui mapishi kabisa,wengi...
2 Reactions
81 Replies
9K Views
Habari wana Jamii forums. Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibu maishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo,nimeajiriwa serikalini. Nipo Kahama. Nahitaji...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna mdada anaitwa V, she is a snob and a half ndo kisa cha kutokua rafiki yangu. Ni mtu mwenye...
23 Reactions
160 Replies
12K Views
Jamani mi naomba niulize humu MMU. Watu wengi huwa wanaanza mahusiano yakimapenzi wakiwa na umri mdogo hasa mashuleni yani unakuta mtu anakosa raha asipomwona mpenziwe, love massege kwa sana...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wana jamii forums. Napenda kuwasilisha pendekezo, kwani mimi ni kijana wa miaka isiyozidi 20 peace.Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nashangaa sana kuona mwanamke anatumia muda mwingi kujiremba na kutafuta vipodozi badala ya kujifunza mbinu za kimahaba zitakazo mpagawisha mwenza wake.Ukifika kariakoo kwenye maduka ya vipodozi...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Nina mtoto almost 3yrs now, mzazi mwenzangu alinisusia tangu mimba na up to now hajawah mwona mwanangu but he communicates sometimes though hanisaidii malezi kwa maneno kwamba he za still...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Husbands: The reason why other women look attractive is because someone is taking good care of them. Grass is always green where it is watered. Instead of drooling over. The green grass on the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa habarini. Mwanamke anayejitambua ambaye amesharidhika na anasa za dunia ambaye yupo tayari kuishi kwa hofu ya mungu anahitajika. Elimu siyo kigezo kwa kuwa hata waliotuzaa hawakutumia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
nahitaji msichana wa kuoa ambae ni HIV +ve umri wangu 34 yr mtumishi wa umma awe mkristo au muslim alietayari kubadili dini. alietayari anipm pls.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Nilikuwa na mpenzi wangu juzi kati tukaachana cause yeye alishindwa kuwa na msimamo na mimi nikaamua kuachana naye baada ya kumfuma. Sasa baada ya kuachana naye ananitishia...
0 Reactions
105 Replies
16K Views
All know that NO lady would ever admit chasing a guy. They also chase dudes in a coded manner and pretend they don't probably because they are naturally born pretenders. They are always like...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naamini wote ni wazima,kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema, wenye majonzi na wafarijiwe. Nina swali jamani samahani nauliza tu. Hivi humu jukwani kuna watu hawana ubize kabisa, maana topic...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Sijui pia ni wanawake wamechoka kulea wanaume wa mjini wanaojullikana kama mario,au ni maoni ya mwandishi tu,je ni kweli kiama chao kimefika ukingoni sasa,hasa pia wale wote wanaoishi kwa mwanamke
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Tall, dark and handsome may not be the ideal man after all. According to new findings, short men make better husbands. The new study claims that shorter men also do more housework, earn more money...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…