Wanaume mashost

Wanaume mashost

Prince Akeem

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
886
Reaction score
382
Kuna wanaume huwa wanakera sana,Unakuta ni mshikaji wako afu anajipendekeza kwa demu mpaka wanakuwa marafiki. Kibaya anakuja kukuambia-mwanangu nimepiga pale.Ukichunguza kumbe ni kamba tuu na anazibia wengine.Tunawaita majina kama nyuki wa mashineni au nyoka wa kwenye kahawa
 
sisi tunawaita wapenda sifa za kijinga
 
hiyo kweli mkuu. bora kuwa kauzu kuliko u shost. mademu huwa wanawachora sana
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom