Kupendwa bila kutegemea (romantic love)

Kupendwa bila kutegemea (romantic love)

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Katika mapenzi (romantic) Inatokea mtu kumpenda mtu mwengine katika mazingira ya utata na bila ya kutegemewa.
Sometimes inatokea mtu anakupenda but wewe uliependwa unaanza kujiuliza maswali utakayokosa majibu.

Obvious mtu yeyote anaezalisha sperms/ovary na mwenye nguvu anakua na hisia za kimapenzi bila ya kuzingatia Ujazo wa akili katika bakiliyake.

Ni mara mbili nimekua muhanga wa kupendwa na machizi

Wa kwanza:Rose
Alikua ni binti mtata mwenye uchizi wa kukosa aibu. Chizi hawa ni wakali sana wanapochokozwa, wengi wao wanaendeshwa na moods kali sana. kwa lugha nyepesi ni wale 'sometimes no sometimes yes'

Sikuwa nikimchokoza huyu Miss Rose niliona tu wanavyomtania na kuporomoshewa mitusi. One day nilimwita lile jina linalomkera, cha ajabu hakukasirika na badala yake alinijbu hivi: "Unaniona sina akili kwa taarifa yako hatukani mtu hapa".

Toka siku hiyo, popote anionapo ananisalimia, na nikimuona anataniwa naye akiniona tu hatukani tena. Hamadiii, Mungu si Watu8 yule chizi akawa hachezi mbali na magetoni, fulu kuniomba namba yani watu wakaribu pale wote wakajua.

Nikaanza kumchukia sasa. cause ilifikia nikitoka huyo, nikirudi huyo, nikazisemea huyu kaamua kujifungia kazi. Kumkwepa na kumchukia tu afu ukizingatia wadau waliniambia nisichukie mgonjwa cause walimuonea huruma nikaona hapa nitumie mbinu ili akiniona tu ikiwezekana akeuze njia.

Niliamua hivyo cause alishaanza kutuma maua. Nilimwambia hivi: Huna lolote wewe mtu mwenyewe unavaaga tu mapichu meusi, ikiwa sio kweli tuoneshe.

Siku hiyo alikasirika na kusepa bila kunijibu na mahudhurio around magetoni yalipungua for somehow but later on alirudia nikamwambia hajui kupika na kumkomalia. Na pilika zake ziliishia hapo.

Wa pili:
Ni ya mmama mmoja mwenye watoto wakubwa zaidi yangu. Namna alivyokua akipenda ujana. kwa maana yangu ya uchizi naye ni chizi. Hii sitoilezea.

Kwenu members. Jee mlishawahi kukutwa na hayo madhila cause chizi anaweza kukuaibisha sehemu usiyotarajia.
 
kwaiyo tukujibu nin?mada ya ovyo.
 
Mashaxizo huyo chizi wa kwanza ulitaka kula mzigo nin, maana hadi kusema uliambiwa usitoke na mgonjwa means nia ilikuwepo. By the way inaweza una zari😀
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mashavukizo, kwahiyo chizi yuko wapi cku hizi?
 
pole aiseeee na utata wako wote ukakutana na chizi looo...
 
Sijakusoma ujue

Katika mapenzi (romantic) Inatokea mtu kumpenda mtu mwengine katika mazingira ya utata na bila ya kutegemewa.
Sometimes inatokea mtu anakupenda but wewe uliependwa unaanza kujiuliza maswali utakayokosa majibu.

Obvious mtu yeyote anaezalisha sperms/ovary na mwenye nguvu anakua na hisia za kimapenzi bila ya kuzingatia Ujazo wa akili katika bakiliyake.

Ni mara mbili nimekua muhanga wa kupendwa na machizi

Wa kwanza:Rose
Alikua ni binti mtata mwenye uchizi wa kukosa aibu. Chizi hawa ni wakali sana wanapochokozwa, wengi wao wanaendeshwa na moods kali sana. kwa lugha nyepesi ni wale 'sometimes no sometimes yes'

Sikuwa nikimchokoza huyu Miss Rose niliona tu wanavyomtania na kuporomoshewa mitusi. One day nilimwita lile jina linalomkera, cha ajabu hakukasirika na badala yake alinijbu hivi: "Unaniona sina akili kwa taarifa yako hatukani mtu hapa".

Toka siku hiyo, popote anionapo ananisalimia, na nikimuona anataniwa naye akiniona tu hatukani tena. Hamadiii, Mungu si Watu8 yule chizi akawa hachezi mbali na magetoni, fulu kuniomba namba yani watu wakaribu pale wote wakajua.

Nikaanza kumchukia sasa. cause ilifikia nikitoka huyo, nikirudi huyo, nikazisemea huyu kaamua kujifungia kazi. Kumkwepa na kumchukia tu afu ukizingatia wadau waliniambia nisichukie mgonjwa cause walimuonea huruma nikaona hapa nitumie mbinu ili akiniona tu ikiwezekana akeuze njia.

Niliamua hivyo cause alishaanza kutuma maua. Nilimwambia hivi: Huna lolote wewe mtu mwenyewe unavaaga tu mapichu meusi, ikiwa sio kweli tuoneshe.

Siku hiyo alikasirika na kusepa bila kunijibu na mahudhurio around magetoni yalipungua for somehow but later on alirudia nikamwambia hajui kupika na kumkomalia. Na pilika zake ziliishia hapo.

Wa pili:
Ni ya mmama mmoja mwenye watoto wakubwa zaidi yangu. Namna alivyokua akipenda ujana. kwa maana yangu ya uchizi naye ni chizi. Hii sitoilezea.

Kwenu members. Jee mlishawahi kukutwa na hayo madhila cause chizi anaweza kukuaibisha sehemu usiyotarajia.

Hapo kwenye red ndio maxishizo kaniacha hoi.
 
Mkuu kuna thread nahitaji ufafanuzi wako kule jf doctor nikakuita ukagoma kuja emu fuatilia mkuu plz
majibu yako clear kule sina addition zaidi ya muhusika aende tu hospitali
 
Back
Top Bottom