Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Habari za saa hizi.
Communication is an art and a skill. Hiki kitu unaweza kujifunza through experience,kupitia kwenye malezi au ukawa natural born an excellent communicator.So tuangalie vitu vipi vinakufanya uwe good communicator.
Karibuni wapendwa
Communication is an art and a skill. Hiki kitu unaweza kujifunza through experience,kupitia kwenye malezi au ukawa natural born an excellent communicator.So tuangalie vitu vipi vinakufanya uwe good communicator.
- Good listener:"LISTEN FIRST TALK LATER" Tujifunze kusikiliza na kujenga uelewa through different prespectives without judging or making accussations.Dhana ni dhambi,hata dini inakataza dhana."IGNORANCE IS BLISS"
- Ask Passiv questions:Kama kuna kitu hujaelewa uliza maswali ambayo yatamfanya mtu afunguke ajieleze,If you want to find the solution to any problem find first the source of the problem.The bigger you dig the better results you get.Kama hujatafuta origin ya tatizo bado hujalisolve tatizo kuna uwezekano mkubwa tatizo hilo litajirudia tena na tena.
- Take Consideration:Yape uzito uliyoambiwa,jipeleleze na yafanyie kazi mfano kama watu watatu wamekwambia jambo hilohilo maanake its impossible that all these people are wrong!!Take time,think and rethink.Find solutions and try to resolve the issue and if possible seek for help elsewhere.
- Give /take Feedback:Ni vizuri kutoa feedback but be careful on your language and the way you express yourself.Use your words wisely especially when giving a negtive feedback because not everyone takes critisicm in a positive attitude.Have manners because you could be hurting someones feelings or self-esteem. Mpokeaji wa feedback refer to the point of consideration.
- Kama mna la ziada jamani ongezeeni!
Karibuni wapendwa