Nimefichwa kuwa tuna mtoto kwa miaka 3

Nimefichwa kuwa tuna mtoto kwa miaka 3

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Wakuu my love na mimi now tuna mtoto ila cha kushangaza alinificha kwa miaka 3 pindi nipo chuo then ndio akaniambia my kid resembles alot.

Ila sijaelewa mantiki yake na why hakunishirikisha all that time.
 
J CThis is the most plausible reason you can ever think of, zaidi ya hapa ni yeye mwenyewe akupe sababu na uwe umevalidate ukweli wake kwa zaidi ya 90.19%. Yani itakuwa kuna kidume kiliambiwa huyu mwanao. Ikatokea sintofahamu na mtoto akajulikana si wake. Binti akawa hana jinsi zaidi ya kukuletea mwanao( which we are not even sure the kid is)
miss chagga
While it is unacceptable for a man to be irresponsible at such time, si kitu cha kawaida wala si sababu ya kumnyima baba taarifa za mwanaye. Unless baba ni mortal threat kwa mtoto. Labda kama baba angelazimisha mimba itolewe, which we both don't know so there is no need to rush to the aid of ur fellow Woman. It is not a war aganist women....
 
Last edited by a moderator:
PetCash
Noo dude jua mwanamke anakusoma unakuta ujielewi unamambo ya kitoto why should i bother waste my time while najua hauwezi toa ufumbuzi
 
Last edited by a moderator:
Uzi wako haujakamilika kumfanya msomaji aweze kutoa ushauri makini.
! Mlipeana mimba katika mazingira gani?
! Je, wote mlikuwa wanafunzi au mlikuwa wafanyakazi?
! Mahusiano yenu yalijengwa katika misingi gani?
 
Ni ngumu si tukajua lililomsibu sanasana tutakupa "labda" tu
 
Nisiwe hakimu ila swali nalojiuliza ni moja unaaminije ni mtoto wako?? muda mrefuhuo miaka tisa si kidogo na ulimuuliza labda kwa nini akufiche
 
Yaapo midume mingi tuu..... mwingine anathubutu kusema tulitumia kinga!
Na Mungu huwa hamtendei kosa anakunania mpk basi unaona aibu
 
miss chagga

Dude, not for three years, you decide to keep the baby its okay but its only fair you tell the father. If he is irresponsible why would it bother you to tell, especially since you are not planning to expect anything from him in the first place?
Huu ni wizi wa waziwazi aisee!
 
Last edited by a moderator:
PetCash

Ha ha yawezekana ametunza mwingine huko si unajua mama ni wa kweli ila baba no one knows
 
Last edited by a moderator:
mwenzako aliyetunz akwa miaka mitatu ameishiwa, umebimbikizwa wewe....nawe ukifirisika anapelekewa mwingine....anataka kukugeuza kikoba chake
 
acha kumtuhumu...sasa angewezaje kuwa responsible kama hajaambiwa toka mama alipokuwa mjamzito...kumbuka amekwambia alikuwa chuo..

Alipnyesha hiyo hali kwenye mahusiano ndiyo maana demu akasepa kumbe
 
Alikuona na huyo mtoto alikuwa kabambikiwa mtu mwingine jamaa kaingia mitini ndio umeletewa wewe wake
 
Ni kweli...yule baba aliyekuwa kabambikiwa baada ya kuonekana anazo kuliko wrwe ameshtuka!!
 
  • Thanks
Reactions: RR
Back
Top Bottom