chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,766
- 2,570
Ili ni jina nlilopenda kumuita kwa utani mpenzi wangu huyu wa zamani ambaye amenifanya nisiweze kupenda tena mpaka sasa ni Mzee Wa hit n run.
Wiki iliyopita nmekutana nae baada ya miaka 4 ya kuachana na kupoteana kisa Dini zetu zilikuwa tofauti Mimi mkatoliki yeye Muslim amekuwa mzuri sana na nakili bado nampenda na yeye ndie aliyeondoka na funguo ya upendo katika moyo wangu since 2008.
Familia yangu haikumkubali kabisa hasa mama yangu ingawa yeye alikuwa tayari kuchange dini na kuwa mkatoliki.Mpaka niliitwa na kikao cha mababa mdogo niachane naye.Nilipunguza upendo kwake mwisho wa siku akagundua na nilipomwambia tuachane alilia sana na kuniambia baba gagulo utakuja kunikumbuka maishani mwako.
Sasa nilipokutana nae kumbe bado ananipenda na sasa hivi nimeshakuwa mtu na maisha yake akanikumbusha nilivokuwa namtoroshaga kwao na kumpeleka ghetto. Akaniuliza hivi sasa ivi unaweza kweli nikamjibu subiri nijaribu,nikamkaribisha ghetto na kumpikia chakula alichokuwa anapendaga nmpikie makoronya na nyama.
Tulipokuwa tunakula huku tunacheki movie ya The theory of Everything akanza kunitomasa huku anasema penzi alilolionyesha yule Dada kwenye hiyo muvi ndio analoyeye kwangu mpaka leo yake tulikumbushia kipolo na sasa amekuwa mtamu na mwenyewe mahaba kitandani kuriko zamani mpaka kazini nikaaga naumwa kesho yake ili niendelee kumfaidi mama gagulo.
Ukweli ni kwamba sasa hivi nina mchumba ambaye ninajiandaa kwenda kwao kujitambulisha lakini upendo sina kabisa kwake ni privileg aliyo nayo na family status yao ndio inanilazimu na ndugu wana mpenda sana as long as Mkatoliki mwenzangu.I don't know what to do.