Habari za saa hizi wana JF wenzangu!
Leo jamani tuweke kumbukumbu na tushare life best experiences ambazo tunazifurahia!
- Inaweza kuwa ni adventure,
- ama ni changamoto ilokupa maendeleo au
- mfano ulipopata mwenza wa ndoto zako ,
- au ulipopata mafanikio ambayo hukutarajia!
Tueleze juhudi ulizotumia mpaka kutimiza malengo yako naasi tujifunze kupitia kwako!
Karibuni wote!
My dear okay naomba mnisamehe nikichanganya lugha hapa . Naomba to share on changa moto zilizo nip a maendeleo kidogo ya kimaisha.
For those peoples mnaoishi/ mlioishi ughaibuni mnajua au kufahamu kidogo maisha ya ughaibuni yalivyokuwa magumu especially ukiwa Hauna muongozo maalum au MTU Wa kukuongoza kimaisha. We all have dreams better dreams to achieve ,kwa wale walio ughaibuni wangu wao huwa wanawaza kwenda shule, kutafuta, kujijenga kimaisha na kurudi home Tz or to stay wherever they are .
Half of my life nimekulia ughaibuni na nimejifunza mingi, mingi sana I thank God. Kwa wale waliowahi kuishi na Mama Wa kufikia I think sio wote ambao walikuwa na adventures nzuri nisameheni kama nimewakosea, na sisemi wamama wote Wa kufikia ni wabaya au aliyewahi kuwa na Mimi ni mmbaya hapana ,site zilikuwa ni changamoto za kimaisha.
Sijatokea katika familia ya kitajiri Wa Mali sikudanganyi kwetu ni masikini lakini pamoja na umasikini wetu tulifundishwa sana upendo , upendo, na heshima, heshima , kumcha Mungu, Mungu ambavyo mpaka Leo najivunia kokote ni lipo hapa duniani.
At the age Fulani tukiwa ughaibuni Mama yangu Wa kufikia alinifukuza home ( my Dad hakuwepo, kwa kuwa anasafiri sana,nchi nyingine za nnnje, kikazi) . Hapo ndio story yangu ya changa moto ya kimaisha ilipoanza. I struggled a lot by myself to survive, nilihamishwa house to house just to be able to survive . Kuna kipindi waliokaa na Mimi pia waliona ni mzigo, kwa ughaibuni yes ni mzigo.
Nilishii maisha ya kutangatanga mpaka Mungu akaniwezesha kumaliza High school, I thank God for. Nilifanikiwa kupata full scholarship ya mambo ya healthcare. Nikiwa boarding school (college) ,nikapata bad news kuwa school haikuweza kutulipia tena. So kila MTU ilibidi arudi makwao. Kipindi hicho kumbuka I didn't have a place to call a home sweet home. Another test. Still I survived kwa kupata msaada kwa watu mbali mbali ambao walinipenda sana ,sana na wengi walitoka nchi tofauti but not Tz. Anyway ni mengi sana yalitokea mpaka kufikia hapa nilipo namshukuru Mungu kwa yote.
Vitu nilivyofanya mpaka vimenifikisha hapa ni:
Kumtegemea Mungu complete. ( At that point of my life sikuwa na solution especially kumlilia Mungu usiku na mchana ili anisaidie kwa sababu everyday kwangu ilikuwa ni kilio, hizi ni, na majonzi kwangu, but faraja ilikuwa ni Mungu tuu).
Kusamehe . ( Niliamua kusamehe ili God to set me free, nilifunga safari after years and years kumfuata my step mother and I apologize to her even though sikujua kosa langu la yeye kunifukuza Usiku Wa manane ughaibuni bila kujua wapi ningeenda but God walked with me through, with all happened still I have decided to forgive her na kumjulisha yes nimemsamehe, na we made a peace until now we are friends).
To be happy ( I chose to be and take every trials, problems ,challenges as they are not permanent situation.Its only for season .)
Respect ( Not that sikuwahi kuwa na respect no dear ila niliiongeza zaidi kwa maana inasaidia sana . Imagine people who were helped me most of them hawakuwa watz , they had different cultures, religion and from different country.)
To love more .( I have decided to do this not that sikuwa na upendo , no dear nilikuwa nao ila niliuzidisha hadi sasa kwa Napenda kupenda na pia ni faraja ya moyo wangu pale ninapopenda. )
Hard work ( oh may I can't tell you how much it pays off. It does really pay off, kwa kufanya kile cha passion yako kutoka moyoni,working hard without ceasing and you will see the reward maishani mwako. Never take No as your answer, always try to go extra Miles in your life , without kujali nini watasema,au wakufikiriaje, just be you and show what you got .)
So ndugu Nataka nikutie moyo popote ulipo tusife moyo katika maisha hata siku moja. Be a fighter dear and depend on God with everything you do . Yule aliyekuambia hautaweza hebu jaribu kusema na Mungu uone kama atakupa the same answer, I doubt. The loveissweet you see here its not who you are thinking dear, nimekubali mengi tuu yatokee kwangu ili nipate experience na to learn new things. Only I can say just know who you are , where you come from and who is able to deliver you from that situation you are inn then utapata upeo na ushupavu Wa kumove on with your life .
Take every negatives comments from people as the place to change you better for tomorrow. Nilishawahi kuambiwa mengi tuu Mimi kawa sitomaliza shule, sitofanikiwa kimaisha na mingi tuu lakini kiko wapi now , just know He who is in you ,is greater than the world. Stay on the track whatever are you facing now and God who knows you before informed in your Mother's womb , He appointed you to become a witness to the all Nations, receive it dear. Thanks.