Hivi we mtoa mada unayaelewaje mapenzi? mi naona hayatawaliwi na ujinga wala urevu hivi vitu ktk mapenzi vipo vipo
tu kusindikiza mahusiano, kwa namna fulani. Nionavyo mimi mapnz yametawaliwa na upofu, na pale unapofanyiwa
magumashi na mwenzi wako, ndo unafunguka macho na kupata kuona tena kumbe............, kuachana forever.