Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Habari za saa hizi waungwana.
Leo ningependa tujifunze na tuongelee suala la emotional abuse.Hili ni jambo ambalo watu wengi wanapitia inawezekana wengine wanatambua hilo na wengine hawalitambui hili.
Emotional abuse inaweza kuwa na madhara kuliko physical abuse kwasababu inaweza kubadili mtazamo wa mtu juu yake(self-esteem).
Dalili za emotional abuse ni zipi?Jiulize maswali haya kama unahisi una abuse au upo abused?
Humiliation,degradation,discounting,negating,judging and critisizing
Domination,control and shame:
Accusing and blaming,unresonable demands and expectations,denies their own shortcomings
Emotional distancing and "the silent treatment",isolation,emotional abundance and neglect
By MARIA BOGDANOS
Karibuni

- Je kuna mtu ambae anapenda kuleta masikhara/utani mbele ya wengine?Je mtu huyo anatumia utani au sarcasmi/irony kama njia ya kukuvunja moyo?Mtu huyohuyo baadala yake anakwambia kuwa alikuwa anatania na kwamba huwezi matani.
- Je kuna mtu anayekwambia misimamo yako au hisia zako hazipo sahihi?
Domination,control and shame:
- Je unapata hisia mtu anakuchukulia kama mtoto?
- Je mtu anakukosoa na kukurekebisha kutwa kuwa tabia zako si sahihi?
- Je unapata hisia kwamba lazima uombe ruhusa kabla ya kufanya lolote au huwezi kuchukua maamuzi kwa kujitegemea?
- Je unatawaliwa matumizi yako?
- Je unakukumbushwa juu ya mambo ambayo hujafanikiwa nayo maishani mwako?
- Je kuna watu wanakuchukulia kama wako juu yako?
- Je Hawa kupi pongezi kwa mafanikio yako,juhudi zako au hata utu wako?
- Je wanakukatisha tamaa kupitia kwenye comments zao,facial expressions n.k?
Accusing and blaming,unresonable demands and expectations,denies their own shortcomings
- Je wanakupa accusation ya vitu vilivyo kwenye fikra zao ambavyo havina ukweli?
- Je wapo sensitive likija suala la mtu kuwatania kuhusu masuala yao binafsi au kuleta comment ambayo inaweza kushusha heshima yao?
- Je ni wagumu kuomba msamaha?
- Je wanapenda kutafuta excuses na kutupia lawama kwa watu wengine kutokana na matendo yao?
- Je wanakuita majina au kukupa label?
- Je wanakupa lawama kwa matatizo yao au kukosa kwa furaha yao?
- Je wanapenda kuweka vipingamizi kwenye maombi yako?
Emotional distancing and "the silent treatment",isolation,emotional abundance and neglect
- Je wanapenda kujifanya victims ili kukupa lawama ww kama mkosaji ijapokuwa wakosaji ni wao ili kuepuka kuchukua jukumu kwa tabia zao au matendo yao?
- Je hawajali jinsi unavyojisikia haswa kama wamekuumiza hisia zako
- Je hawaoneshi kugusika au kushtushwa na hali yako hata kukuulizia hali yako
- Je hawapendi kuonesha hisia na wanatumia vulnerability yako kama fimbo ya kukuchapia
By MARIA BOGDANOS
Karibuni