Iam ready to catch a grenade for him but he don't luv me

Iam ready to catch a grenade for him but he don't luv me

Kifup nampenda sana tena zaid ya sana lkn he don't luv me end I don't know wat to do.. Help me plzz

Upendo ni kati ya watu wawili, japo kuna sie wengine inabidi umpende mtu kutokana na jinsi alivyojitoa na kukupenda!
Huyo kama hakupendi na hathamini upendo wake achana nae, atakupa karaha tu.
 
asee amenizidi nini huyo mtu.... I think I love you more!!!!
 
That's what u think.. Na kwa sababu umeacha moyo wako uchukue nafasi ya kutafasiri badala ya ubongo ndo kabisa hutaki hata kujisumbua..
 
am ready to catch a Grenade for him buh he don't luv me...... Help me plzz

images
 
Una umri gani?

nahisi 'puppy love' inakusumbua

hizi nyimbo za kina Bruno Mars mnazi take so serious....mtakuja kunywa sumu bure

wewe na mwenzio mnajitegemea 100 percent?
au mna wazazi wanaopata stress za life daily huku nyinyi mnakariri nyimbo za kina Bruno Mars
 
Kakwambia hakupendi au unasema ww?Stop jumping into conclussions!!
 
Live your life,utapata anayekustahili.
 
Una umri gani?

nahisi 'puppy love' inakusumbua

hizi nyimbo za kina Bruno Mars mnazi take so serious....mtakuja kunywa sumu bure

wewe na mwenzio mnajitegemea 100 percent?
au mna wazazi wanaopata stress za life daily huku nyinyi mnakariri nyimbo za kina Bruno Mars

.....puppy love indeed!

Mapenzi niue, mapenzi nipoteze, nilengeshe kwenye Glenedi niteketee!
 
Its very simple..JINASUE KWENYE ULIMWENGU WA HISIA NA UHAMIE KATKA ULIMWENGU HALISI...baada ya muda utajiona jinsi gani ulivyomjinga....
 
Kifup nampenda sana tena zaid ya sana lkn he don't luv me end I don't know wat to do.. Help me plzz

you are ready to catch GRENADE for ya because THE WAY HE IS because he is like a TREASURE to you

usichokijua kuhusu nyimbo za bruno zinatoka kwa mtiririko unaoeleweka
 
Back
Top Bottom