Kuna hii hali iliyozoeleka kwa watu wanaoachana kuanza kusemana vibaya na kuharibiana public image lately Jay Dee VS Habash
Hivi watu hawawezi kutoka katika mahusiano na kukaa kimya,what is to be gained iwapo mtu ataanza kumsema mwenzake na makosa yake.
Yeye mwenyewe ni perfect katika mahusiano,kwangu mimi nadhani anayekimbilia kumdiscredit mwenzake nina jina moja tu naweza kumuita loser.
Tell me what you think guys