Anapenda wake za watu tumfanyaje?

Anapenda wake za watu tumfanyaje?

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,295
Reaction score
11,586
Habari zenu wadau.

Tunajamaa yetu amekuwa na tabia ya kutongoza tongoza ovyo hangaliaa sura wala tabia wala mazungira.Kutongoza tongoza kwake watu siyo issue, issue nikuwa anatangoza wake za watu tunamkanya anaajifanya kasikia.

ila anaendelea tu namchezo wake imefikia hatua mpaka wake wajamaa zake wakaribu anawapitia.Sasa tulichopanga mda huu nikumtegeshea tu anaswe ijulikane moja inauma sana mtu unamchukulia mkewe tena jamaa yako.
 
Aisee kusema mumuwekee mtego da siwahauri jamani, angalieni je akipigwa na kufa? au akipewa risasi ya uso? mtajisikiaje? huoni kama moyo utawasumbua sana. Part yenu mmecheza, kama haelewi mwacheni ili akamatwe yeye mwenyewe kuliko kumtegea mtego mtamkosa na hata ndoa za watu kuvunjika. Hii kitu inauma
 
Habari zenu wadau.

Tunajamaa yetu amekuwa na tabia ya kutongoza tongoza ovyo hangaliaa sura
wala tabia wala mazungira.Kutongoza tongoza kwake watu siyo issue,
issue nikuwa anatangoza wake za watu tunamkanya anaajifanya kasikia.

ila anaendelea tu namchezo wake imefikia hatua mpaka wake wajamaa zake
wakaribu anawapitia.Sasa tulichopanga mda huu nikumtegeshea tu anaswe
ijulikane moja inauma sana mtu unamchukulia mkewe tena jamaa yako.

mbona sioni tatizzo? mbona akiwatongoza hawakatai? ebu toweni mawivu ya kitoto.
 
Aiseee, sasa hao wake zenu muwambie pia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom