Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa najiuliza kuwa ni umri gani mwanaume inamlazimu kuoa au mwanamke inabidi kuolewa? Literally najua hamna miaka maalum. Lakini kuna wakati watu wanaokuzunguka wanaanza kukunyooshea vidole...
0 Reactions
97 Replies
34K Views
Kuna mdada ana mtoto wa miaka mitano ila walishaachana na baba wa huyo mtoto kama miaka miwili iliyopita. Kaja kupata jamaa ambae ni mpangaji mwenzake wakaanza mahusiano. Walikuwa na mahusiano...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
1. Habari zenu humu jukwaani! 2. Habari zenu masingle lady wote!�� 3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano miaka 5 na hakuna hata dalili ya...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Ni miaka mi 5 imepita tokea alivonisaliti na kuamua kuniacha binti huyu mrembo. Ni wiki sasa tunawasiliana na kukumbushana mambo ya zamani na jinsi tulivokuwaga wapenzi, ndio maana hata juzi...
2 Reactions
43 Replies
8K Views
Utafiti huu umefanywa na Prof Nyambo wa Muhas. Kwa kifupi ni kuwa amegundua kuwa shahawa zikikaa bila kutolewa zikajaa kwenye mapumbu zinazalisha kichocheo ambacho hakijulikani na kimachozuia...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Habari wana jamvi, Eti naomba kuuliza ni muda gani mwanaume anaweza kuishi bila kufanya mapenzi? Sababu iliyonipelekea kuuliza hivi ni kwamba, nina huyu boyfriend mpya yeye anasema hawezi kukaa...
0 Reactions
102 Replies
21K Views
Jealous thug who beat mother of his four children so badly he broke her back is branded a 'lazy, violent parasite' by judge as he is jailed Dallas Mpala, 30, attacked ex-girlfriend Gemma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anakumbuka kusema eeh Mungu nisaidie lakini wapi, anajaribu kusema mpenzi kumbuka pamoja na kumtumia picha zao za zamani lakini ni kitu kisichowezekana. Anashinda akilia lakini haisaidii. Ni...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kuna jamaa yangu leo tulikuwa kijiweni akaniambia kitu hiki, mkewe ana mtoto ila alimpata katika mazingira yanayompa mashaka asilimia 98 na ametumia madaktari kutokana na tarehe za...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wapendwa mimi sina hata wa kunifariji,yote hii kisa nimeachika.Nilikuwa na mpenzi wangu tuliokuwa tunapenda sana ila aliamua kuniacha bila kuniambia sababu, sasa mimi nimebaki mpweke. Please...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Amani kwenu wadau wote wa MMU Nimemua kuleta uzi huu kwenu ili muweze kunisaidia ushauri utakao nisaidia kupata ufumbuzi wa tatizo langu nilionao.Naamini ni utamaduni wetu tuliouzoea apa MMU...
1 Reactions
84 Replies
13K Views
Habari wana Jamii Forums. Nitalieleza hili tukio kwa nafsi ya kwanza ili kulijengea hisia zaidi.Ila ni ishu serious na huyu binti anahitaji msaada haswa tena ushauri wa busara. "Naitwa Izza...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Waungwana naamini mko salama. Nisiwapotezee muda, ni hivi mpenzi ana marafiki wawili wa karibu, na mara nyingi akiniaga, huniaga anakwenda kwa kati ya hao wawili. Katiki hawa wawili, yupo huyu...
0 Reactions
159 Replies
16K Views
Habari wana MMU, ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri hapa jf lkn kwa hili naombeni mnisaidie. Nilikuwa na girlfriend wakati nasoma chuo na tulipendana sana, tukapoteana ktk harakati za maisha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Amani kwenu wadau wote wa MMU, Leo nilikua nimejipumzisha nyumbani kwangu mida ya jioni baada ya kurudi kutoka katika mihangaiko yangu ya kila siku.Mara nikasikia kelele nyingi sana nje. Baada...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini...
6 Reactions
177 Replies
42K Views
It can be soft, hardened and wicked It changes like a chameleon...
4 Reactions
13 Replies
8K Views
Kibwebwe jamani kibwebwe nyie acheni kiitwe kibwebwe. Huu ni ugonjwa wangu wa mda mrefu sana kumuona mwanamke akikatika uku amejifunga kibwebwe(kipande cha khanga au mtandio kuzunguka...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua. Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje...
1 Reactions
203 Replies
20K Views
Umri wangu ni miaka 29, mkristo,elimu chuo, nimeajiriwa na niko morogoro. Nimtakae umri 30-34,awe mkristo, mwajiriwa au mjasiriamali. Mengine tutafahamiana zaidi. Kwa PM kwa anae hitaji.
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…