Habari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu...
Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali...
Habari Wana jamii!! Mpo salama? Mpo poa?
.
Niende Moja kwa moja kwenye habari, nimewaza hili nikikumbuka matukio mawili ambayo Siwezi kuyasahau, yanafundisha sana, na kuonyesha vile vile.
.
TUKIO...
Mu hali gani wakuu...
Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano ya kuibaiba miaka kadhaa nyuma ambae muda huohuo alikuwa ni shemeji pia sababu ya urafiki wake na mwanamke wangu wa...
Habari zenu wakuu.. Poleni na majukumu na harakati za hapa na pale, gharama za maisha zinapanda ila tunapanda nazo hakuna kukata tamaa.
Kuna visa kama viwili viliwahi kunitokea back in the days...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 50, Nina watoto 1, kazi ni mfanyabiashara, dini ni Mkristo.
Natafuta mke mwenye miaka 25 mpaka 40. Awe Mkristo. Kama upo serious njoo in box tuyajenge
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...🍺
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...🤗
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata...
So you're trying to tell me that my hard earned money is your love language?
Sorry i don't speak that language, and i will never speak
Kuna muda haya maisha yanataka watu wawili wenye kupendana...
N:B: Haya ypte yanatokea mtoto akiwa na umri chini ya miaka mitano
Mkeo anajifungua mtoto, unafurahi ukidhani ni damu yako
Unagundua kuwa mke ana mchepuko wa nje
Unafanya vipimo vya DNA...
USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO.
Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha.
Ni kawaida...
Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,.
Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe...
NAMNA YA KUNASA VITOTO VYA KISHUA MSIMU HUU WA SIKUKUU
Anaandika, Robert Heriel
Kheri ya Christmas Wakuu!
Tuachane na mambo Serious kidogo, muda wa kupoza Injini ndio huu.
Wale wazee wenzangu wa...
Nimechoka wakuu
Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na...
Nimeona wengi wanatafuta wake au waume
Nawapa mwongozo
1. Jitambulishe jina
2. Shughuli zako (si lazima kuweka kipato)
3. Umri wako
4. Watoto (Body count si lazima)
5. Jinsia (Me au ke)...
Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.
Wakorintho 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.