Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hey people good morning, Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00...
44 Reactions
185 Replies
2K Views
Muigizaji Siwa akizungumza kwenye kipindi cha mashamsham cha wasafi fm Juni 30/2026 na kusema ya kwamba hajawahi kuathirika anapoachana na mume wake na hutumia dakika 5 tu kutafakari pindi...
7 Reactions
57 Replies
769 Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema. Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi...
43 Reactions
374 Replies
60K Views
Ilikuwa mida ya asubuhi, ggrrrh mara simu yangu ikaita. kuangalia mdogo wangu Dogo: Kaka kwema, me: poa, dogo:kuna tv yangu naiuza niletee mteja, iko sehem fulani ukipata mteja mpeleke mimi...
14 Reactions
75 Replies
1K Views
Kwenye pakti za premium condom zenye brand nzuri na bei ya juu kama rough rider, Kiss na bull huwa ziko condom tatu. Ulishajiuliza kwa nini? Ni lwa sababu ili uichape na achapike hadi kuridhika...
0 Reactions
3 Replies
140 Views
Anahama kama fisi waliomaliza kula mzogo somewhere kwenye hifadhi. Pesa, kibunda, dollar,fedha,noti...hii kitu inaamua mambo mengi sana.
16 Reactions
72 Replies
1K Views
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu. Kwa kweli na mimi leo nakiri... Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka. Cha kwanza...
25 Reactions
210 Replies
4K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa huu mtandao not so long, mwanzoni sikuweza kujiunga kwasababu sikujua namna ya kufanya hivyo. Baadae nikikutana na mtu ambae pia ni mtumiaji wa huu mtandao ndio akanipa...
39 Reactions
344 Replies
22K Views
Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life , Kama...
5 Reactions
27 Replies
537 Views
Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
3 Reactions
47 Replies
595 Views
Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk. Hivi huwa hata mnajiuliza...
15 Reactions
82 Replies
965 Views
Zingatia: Furaha ya kweli 📌 Kuna wakati tunadhani tukipata pesa nyingi, nyumba nzuri, gari la ndoto au mafanikio makubwa ndipo tutafurahi. Lakini ukweli ni kwamba vitu vya nje vinaweza kutupa...
4 Reactions
6 Replies
156 Views
Mimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu...
11 Reactions
71 Replies
920 Views
Umeoa mkeo kwa mahari kubwa siku moja unarudi nyumbani unakuta hayupo unaambiwa kaenda salun unamfatilia huko salun unamkuta anafanyiwa huu UPUUZI tena na lijamaa, alafu mkeo anakenua anakwambia...
0 Reactions
66 Replies
13K Views
Kuna wazazi sijui n kutojielewa ama nin.unakuta mtoto wa kiume na wakike wanalala chumba kimoja. haswa wanaoishi mjin wanapuuza haya...
4 Reactions
6 Replies
191 Views
Dah ni siku nyingi Sana , inatokana na u busy natafta Ada na unga wa watoto wa baadae, Bwana nimeamua sasa niweke jiko ndani baada ya kucheza michezo aina zote na wadada wa cariber mbali mbali...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajamii mpo salama? Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore, Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu...
6 Reactions
90 Replies
11K Views
Habari za muda huu, ni siku tulivu sana hapa. Jiji la Dar es Salaam kumekucha salama, ingawa kulikuwa na upepo wa baridi sana, poleni na natumaini kila mmoja wetu ni mzima kabisa. Nawatakia kila...
49 Reactions
375 Replies
41K Views
Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene...
6 Reactions
37 Replies
491 Views
1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako 2. Maandalizi mazuri Kabla ya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom