Dada zangu wa Jf, nataka niwasadie. nimeona kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa miaka 3 na zaidi na kisha bado wanasema "nakupenda" sio kweli. Kwa mtu mwenye upendo wa dhati na wa kweli kama mimi...
Ni jambo la kawaida wanandoa kuwa katika tafrani ya kukinzana katika kauli kutokana na wivu ugoni, malezi, matumizi ya rasilimali.
Lakini la kusikitisha wanandoa huishia kutangaza mambo yao ya...
Love and Infatuation ni hisia unazojisikia kuhusu mtu fulani.Hisia hizi mara nyingi zinachanganywa kwa watu wengi lakini tukumbuke hisia hizi zipo tofauti kimapenzi,kinguvu na matokeo ya mwisho...
About three months ago nimehamia katika nyumba moja na baada ya kusign mkataba na mambo kama hayo, Father house alichoniambia cha kwanza ni "Ndugu, hivyo vyumba vya nje kuna wanawake wawili, kama...
Namaste,
Tahadhari! Mada hii ina ubazazi mwingi! CAVEAT EMPTOR! Buyer/Reader be aware! Kama hupendi ubazazi usisome tu!.
First lady wa MABAZAZI.COM nataaharisha mapema.
well starehe gharama...
Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha...
Simuamini wala simpendi tena mwanaume wangu nimekuwa nae katika mahusiano huu mwaka wa3 sasa aliniomba anioe nikamkubalia.
Tatizo likawa upande wa dini kwakuwa nilimpenda sana sikuona tatizo...
From my own adventures & experiences, and a little study i've conducted, it seems every straight man, at some point(s) in his life, does make a decision that's influenced by his Penis, one way or...
Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu.
Juhudi zote za wazazi na ndugu wa...
Mpenzi wangu kanirusha roho kuwa ni mjamzito baada ya majadiliano ya kama siku 2 kuwa eti ananiomba aitoe na kumkatalia.Baadae anasema hakuwa mjamzito ila alinipima tu! dah sijaelewa kabisa kwani...
Nilikua na girlfriend wangu tukiwa tunamipango ya ndoa enzi hizo sina kazi,nikapata kazi mbali na nyumbani nae still akiwa anasoma, tulipanga anitembelee huku nilipo baada ya field kuisha...
Leo nimeletewa malalamiko na dada mmoja anayeishi nyumba moja ya kupanga na yanamhusu mama mmoja ambaye ni mpangaji mwenzie huyu dada akiwa na shida lets say mkaa,chumvi,sukari akienda kumwazima...
Salaam wakuu,
Jana katika pita pita zangu nikitokea ofisini nikapanda daladala ya kurudi home,njiani kulikuwa na foleni kidogo na kuna gari ndogo ilikuwa inataka kuingia barabara kuu...
Jamii forums ni jukwaa kubwa sana na maarufu hapa Tanzania.
Linakutanisha watu wa kila namna kwenye eneo wanalolipenda. Natoa ushuhuda wa watu waliokutana huku JF kwa muda wa mwaka mmoja uliopita...
Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy ofisini ila akampa hela ya taxi.
Alipofika kwenye sherehe akakutana na msichana mrembo wakazoeana na...
Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya...
Inferiority complex ni moja ya matatizo ya kisaikolojia ambapo mtu anajiona na kujifikiria kwa kujiweka nafasi ya chini kwa kujilinganisha na watu wanaomzunguka ambao yeye anadhani kwamba wao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.