Why in relationship for 5 years without marriage?

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Dada zangu wa Jf, nataka niwasadie. nimeona kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa miaka 3 na zaidi na kisha bado wanasema "nakupenda" sio kweli. Kwa mtu mwenye upendo wa dhati na wa kweli kama mimi, huwezi kukubali kukaa mbali nae kwa muda wote huo.

Sasa kitu kinachotokea ni kwamba yamkini jamaa kuna binti mzuri sana jirani anampenda lakini kwa sababu yupo darasa la 6 na bado "not matured" anavumilia. Kwa hiyo ndani ya mahusiano yenu miaka 5 yule binti tayar amemaliza form4 na ndo amependeza zaidi maana amekuwa matured, anakuacha.

Kitu cha muhimu mwambie mchumba wako akupe ruhusa uwaambie nyumbani kwenu na yeye awaambie wazazi wake, kisha mwambie aje kujitamblisha maana hiyo itakupa kuaminika kwa wazazi wako na jamii pia. lakini hakikisha usizidi mwaka mmoja baada ya kutoa mahari ndoa iwe imefungwa.

Hapo dada zangu sinimewasaidia
 
Watu hadi wanafikia mipango ya harusi ila wanaachwa kwenye mataa ghafla,sembuse hiyo kutambulishwa?tena ndo aibu zaidi,utatambulisha wangapi?
 
Katika vitu ambavyo sijawahi kuviwaza ni lini nitafunga ndoa!KWA SISI WA MKE MKE M1 MME M1 WA KUFA NA KUZIKANA NI NGUMU SN KUFANYA MAAMUZ YALIYO SAHIHI KABSA NA YENYE TIJA SO WATASUBIRI SN.
 
Hii kitu ina athiri sana ana kina dada yaani wana kaa na mtu kwenye uhusiano five years na zaidi halafu huyooo anaenda kuoa mtu mwingine.

Problem ni kushindwa kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi accordingly.

Wakati mwingine dada anapewa dalili zozote ambazo zina ashiria kuwa hataolewa na hapendwi kivile lakini ana amua kukomaa tu na anaishia kuwa looser.

Fanya uamuzi sahihi kwa wakati sasa. Dont over stay. Unless hupendi kuolewa but 2 years kwenye relation inatakiwa muanze mipango ya kuoana.
 
Marriage changes nothing but your names (mr&mrs)
.......only standing hard for one another matter........mimi nina girlfriend wangu huu ni mwaka wa saba tunaenda.......tumezoeana balaa kero zipo.......but kila nikitaka kutafuta mwingine naishia kujuta maana sehemu ya moyo wangu inakuwa kama inang'ooka hivi.......so kiukweli inawezekana kwa wenye nia na ambao wameshajikubali hata iweje.......watakuwa pamoja..............mimi na mpenzi wangu bado tunapambana sio rahisi ni ngumu.....inaumiza......inakero......ila inawezekana........na hakuna kitu kinachoshindikana hapa duniani ni watu wa kukifanya tu ndio hawapo........!
 
Hivi 'kila' relationship lazima iishie kwenye ndoa...hata kama ni relationship ndefu?!

Ndio Kama Mahusiano Hayaishii Kwenye Ndoa, Huo Ndo Unaitwa "Ukahaba" Maana Hata Kesho Unaweza Kumwacha Huyu Na Kuwa Na Mwngne. inatakiwa ndan ya cku 35 baada ya kukubaliana, unatakiwa kuanza kutoa taarifa kwa wazazi,
 
Acha kuishi kwa hisia. Facts will positively impact the way of thinking. If that is the case "why in marriage 5 years without a baby ?"
 
Marriage changes nothing but your names (mr&mrs)
.......only standing hard for one another matter........mimi nina girlfriend wangu huu ni mwaka wa saba tunaenda.......tumezoeana balaa kero zipo.......but kila nikitaka kutafuta mwingine naishia kujuta maana sehemu ya moyo wangu inakuwa kama inang'ooka hivi.......so kiukweli inawezekana kwa wenye nia na ambao wameshajikubali hata iweje.......watakuwa pamoja..............mimi na mpenzi wangu bado tunapambana sio rahisi ni ngumu.....inaumiza......inakero......ila inawezekana........na hakuna kitu kinachoshindikana hapa duniani ni watu wa kukifanya tu ndio hawapo........!

Unaishi naye nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja?
 
Ndio Kama Mahusiano Hayaishii Kwenye Ndoa, Huo Ndo Unaitwa "Ukahaba" Maana Hata Kesho Unaweza Kumwacha Huyu Na Kuwa Na Mwngne. inatakiwa ndan ya cku 35 baada ya kukubaliana, unatakiwa kuanza kutoa taarifa kwa wazazi,

Kwa dini yako inayoruhusu wake zaidi ya mmoja...na inaruhusu kutoa talaka/kuvinja ndoa kirahisi kama vile kuonja karanga baa...YES, inawezekana kutoa taarifa ndani ya siku 35!
 
Heheheh khaaa yaani kidume kinijie eti anamprnda binti yangu wa darasa la sita....... wanataka kufunga ndoa sijui baada ya miaka 5.....

Jela inamhusu
 
Dada zangu wa Jf, nataka niwasadie. nimeona kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa miaka 3 na zaidi na kisha bado wanasema "nakupenda" sio kweli. Kwa mtu mwenye upendo wa dhati na wa kweli kama mimi, huwezi kukubali kukaa mbali nae kwa muda wote huo.

Sasa kitu kinachotokea ni kwamba yamkini jamaa kuna binti mzuri sana jirani anampenda lakini kwa sababu yupo darasa la 6 na bado "not matured" anavumilia. Kwa hiyo ndani ya mahusiano yenu miaka 5 yule binti tayar amemaliza form4 na ndo amependeza zaidi maana amekuwa matured, anakuacha.

Kitu cha muhimu mwambie mchumba wako akupe ruhusa uwaambie nyumbani kwenu na yeye awaambie wazazi wake, kisha mwambie aje kujitamblisha maana hiyo itakupa kuaminika kwa wazazi wako na jamii pia. lakini hakikisha usizidi mwaka mmoja baada ya kutoa mahari ndoa iwe imefungwa.

Hapo dada zangu sinimewasaidia

Acheni ku force mapenzi. Msitumie ndoa kuwafanya wanaume watumwa wenu. Kama unahisi hupendwi then ondoka.
 
Ndoa inakujaga yenyewe yakufosi sio, Ukiona mambo hayaendi chapa lapa.
 
Back
Top Bottom