Mimi ni mfanyakazi idara ya fedha katika halmashauri flani hapa Tz, natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae yupo tayari na awe ni muajiriwa serikalini pia.
Wanawake wengi ambao hawajaolewa ni wagomvi sana, hasa akishtukia kuwa huna habari naye kabisa lakini mna tu ukaribu, mfano wa kikazi au kama vile kuwa Jf wote.
Wengi wana uelewa mdogo, mfano...
Habari wana JF,
Katika kujenga uzoefu zaidi wa kimahusiano hatimae nimejifunza kitu kwamba kumbe ndivyo inavyokuwaga.
Imekuwa ni siku kadhaa kabla sijabadilika status na kuwa mtu mbaya sana kwa...
Habari za siku wana MMU,
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa tukiumiza hisia za wenzi Wetu bila kujua. Kumuumiza mtu mwingine kihisia ni ile hali ya kusababisha emotional discomfort kwa mtu mwingine...
Kama kuna mwanamke aliwahi kukutenda huko nyuma, husifikirie kwamba wanawake wote wako hivyo. Maranyingi sana utaona kwasababu mwanamme huyo alipitia experience mbaya ya mahusiano,kwa msichana...
Habari members wote,
Naomba kuuliza kama kuna mahusiano ya dhati kizazi hiki. Namaanisha upendo wa kweli kwa pande zote. Mtu yupo tayari kumtetea.
Kumlinda na kusimama nafasi ya mpenzie kwa...
Mapaja ni sehemu nyeti katika mwili wa mwanamke ambayo hupelekea mwanaume kusisimkwa pindi ayaonapo au kuyapapasa. Miaka ya nyuma kuyaona mapaja ya mwanamke haikuwa rahisi mpaka akufunulie sketi...
Heshima kwenu mabibi na mabwana,
Kama wewe ni msichana na umeshavuka miaka 30 bado hujaolewa na wala huna mtu wa kueleweka ambaye amejitambulisha kwenu tambua kwamba una hali mbaya.
Wasichana...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimojawapo hapa dodoma,nipo hapa kutafuta rafiki wa kike kutoka chuo chochote,hata kama sio mwanachuo nafasi ipo,npo serious katka hili dada...
Msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo anipm; education level:4m6 to bachelor degree
Age:18-23 religion:christian
Healthy status: not having HIV/AIDS
Virginity: you must have a virgin...
Usikubali kutoa mimba kwani ni dhambi,ukitoa mimba yule mtoto atatoa ushahidi siku ya hukumu na hakika hutapona hukumu ya Mungu.
Nakushauri kama umewahi ktuoa mimba tubu haraka sana kwani hakika...
Habari za jumapili tulivu,
Leo tuguse guse hili jambo kwa kukumbushana tu katika mapenzi, hii ni msaada zaidi kwa wanawake ambao hawajawahi kufika kilele kwa ile namna ya ku squirt, sio wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.