Maajabu ya uzinzi haya hapa

Maajabu ya uzinzi haya hapa

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,967
Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya kukimbia ama ya kupambana naye, hii ni kutokana na mwili wenyewe, wachache sana wanazimia.

Cha kushangaza ni katika tukio la uzinzi, ukifumaniwa nguvu huwa zinaisha kabisa kiasi kwamba unaweza ukapigwa na ama kufanyiwa mambo ya ajabu na ka mtu kadogo tu kasikokuwa na nguvu,

Cha kujiuliza kwa nini mwili hapa huwa haupati nguvu za kupambana maana hatari ya kufumaniwa huwa ni sawa kabisa na ile ya kukutana na Simba.

Kwa mtizamo wangu haya ni masuala ya Mungu kutaka kuwaazibu wazinzi.
 
Yatakuwa yamekukuta na si ajabu 0713... inahusika sana hapa! Pole sana mkuu JEKI
 
Last edited by a moderator:
Yatakuwa yamekukuta na si ajabu 0713... inahusika sana hapa! Pole sana mkuu JEKI

matusi ya nini tena mkuu, au hujaelewa nilichosema, badala ya kujikita kujadili hoja unanitukana.
 
Hivi kwa nini kila swali/jambo ambalo mtu hana jibu sahihi huhitimisha kwa kumsingizia Mungu.

Mfano watu wanaamini UKIMWI ni mpango wa Mungu kuwaadhibu wazinzi.

Aliyemtangulia Zenawi alikuwa anawaaminisha kuwa njaa nchini Ethiopia ni mipango ya Mungu katika kubalance ekolojia.

Hivi kwa nini ukichoka kufikiri umsingizie Mungu?
 
Lakini mungu anamakusudi yake unadhani kama mtu anaetembea na mke wa mtu kama bada ya kufumaniwa angelipata nguvu kama amekutana na simba unadhani huyu aliedhulumiwa mkewe angelipata haki yake
 
Mfadhaiko wa gafla huwezi kuwa na ujasiri hata kama wewe ni jasiri siku zote, ila wapo wachache ni noma utashangaa mtu anabebwa juu hata kama ni baunsa kiasi gani na kutupwa chini
 
Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya kukimbia ama ya kupambana naye, hii ni kutokana na mwili wenyewe, wachache sana wanazimia.

Cha kushangaza ni katika tukio la uzinzi, ukifumaniwa nguvu huwa zinaisha kabisa kiasi kwamba unaweza ukapigwa na ama kufanyiwa mambo ya ajabu na ka mtu kadogo tu kasikokuwa na nguvu,

Cha kujiuliza kwa nini mwili hapa huwa haupati nguvu za kupambana maana hatari ya kufumaniwa huwa ni sawa kabisa na ile ya kukutana na Simba.

Kwa mtizamo wangu haya ni masuala ya Mungu kutaka kuwaazibu wazinzi.

wewe ulipofumaniwa ulifanywa nini? kiwepesi au kwa mbinde?
 
Reaction ya mwanadamu uhai wake unapotishiwa ni ile ile haijalishi kufumaniwa au kavamiwa na simba

Aliyefumaniwa anaweza akawa mpole maana anaona anadeal na binadamu wenzake so anakuwa na matumaini ya kuhurumiwa na kutoka mzima katika msambwe huo. Lakini simba huwezi kukaa ukareason naye wala ukamuomba msamaha.

Nakushauri siku ukimfumania mtu nenda na mapanga mawili moja lidondoshe jirani yake na la pili mvamie nalo...halafu leta mrejesho hapa tuendelee na mada
 
Ukifumaniwa unakula vya watu, hata we mwenyewe kwenye mind yako unajua kabisa kuwa una hatia, na pengine unastahili yote yatayokukuta. Sio sawa kabisa na huo mfano wa kukutana na Simba.
 
Hivi kwa nini kila swali/jambo ambalo mtu hana jibu sahihi huhitimisha kwa kumsingizia Mungu.

Mfano watu wanaamini UKIMWI ni mpango wa Mungu kuwaadhibu wazinzi.

Aliyemtangulia Zenawi alikuwa anawaaminisha kuwa njaa nchini Ethiopia ni mipango ya Mungu katika kubalance ekolojia.

Hivi kwa nini ukichoka kufikiri umsingizie Mungu?

Kwa sababu imani ya mtu (katika dini, ushirikina nk.),inaanzia pale uelewa/maarifa yanapoishia.
 
Kabisa!.Kwa maana nyingine hizi imani ni chanzo cha watu kuwa wavivu wa kufikiri maana tayari kuna wakumsingizia unapokosa jibu sahihi la tatizo lako.
 
Mtoto halali na hela mimi simo na pia nimesema kama wapo na kama hawapo basi kheri
 
Ni swala la maadili zaidi ndio linatawala akili hivyo kukufanya kuwa mpole maana unakuwa unajua umekosea (nafsi inakusuta).
 
Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya kukimbia ama ya kupambana naye, hii ni kutokana na mwili wenyewe, wachache sana wanazimia.

Cha kushangaza ni katika tukio la uzinzi, ukifumaniwa nguvu huwa zinaisha kabisa kiasi kwamba unaweza ukapigwa na ama kufanyiwa mambo ya ajabu na ka mtu kadogo tu kasikokuwa na nguvu,

Cha kujiuliza kwa nini mwili hapa huwa haupati nguvu za kupambana maana hatari ya kufumaniwa huwa ni sawa kabisa na ile ya kukutana na Simba.

Kwa mtizamo wangu haya ni masuala ya Mungu kutaka kuwaazibu wazinzi.

Hahahaaaaaaa, kama umewahi kukutana na hili utatambua ni nini hiki
 
Back
Top Bottom