Tuchunguze sana wanaotuoa, dada mmoja yamkuta

myroom320

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
40
Reaction score
16
done (17).jpg

Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu.

Juhudi zote za wazazi na ndugu wa karibu kumshauri hazikufua dafu, dada ndiyo huyo alikuwa ameishakanganyikiwa na anachotaka ni ndoa tu.

Baada ya miezi miwili ya yule jamaa kurejea, walifunga ndoa nakurejea majuu kwa fungate yao! Kumbuka kwamba walikuwa hawajuani kabisaa na wala hawakuwahi kuwa hata marafiki, hiyo inaitwa adventures!!

Walipofika tu kwenye makazi ya yule jamaa, na kusema kweli yule jamaa alikuwa na pesa, wadhungu tunasema loaded. Yule mwanaume alianza kumlazimisha yule dada kufanya mapenzi na mbwa wake kwa ahadi ya kumpa pesa lakini alikataa.

Kwahiyo kilichofanyika ni kubakwa maranyingi na kipigo juu. Bahati nzuri alifanikiwa kutoroka usiku wa manane na kuupitisha usiku kwenye makaburi mpaka siku ya pili yake kabla ya kurudi nyumbani alikozaliwa.

Jamani wasichana kuchukua mda kumjua mwanaume sio mbaya na wala sio dhambi. Mjue mwanaume unayetaka kuishi naye kama mume na mke. Kama kawaida muombe mungu na kushirikisha watu kumchunguza mtu huyo na ni kwa faida yako wewe.
 
Pole sana dada yangu..najua hiii true story inakuhusu wewe..kwani habari kama hizi watu wengi huwa wanazifanya siri sana lakini kwa sababu jamii forums ni kichaka chakuweza kutua mzigo unaokukereketa moyoni mwako umefanya hivyo kwa kumsingizia shosti wako....pole utapata mwingine. Halafu kibaya zaidi usimuabudu na kumuomba mungu (gods) ila muombe JEHOVA Mungu (God).
 
View attachment 241965

Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu.

Juhudi zote za wazazi na ndugu wa karibu kumshauri hazikufua dafu, dada ndiyo huyo alikuwa ameishakanganyikiwa na anachotaka ni ndoa tu.

Baada ya miezi miwili ya yule jamaa kurejea, walifunga ndoa nakurejea majuu kwa fungate yao! Kumbuka kwamba walikuwa hawajuani kabisaa na wala hawakuwahi kuwa hata marafiki, hiyo inaitwa adventures!!

Walipofika tu kwenye makazi ya yule jamaa, na kusema kweli yule jamaa alikuwa na pesa, wadhungu tunasema loaded. Yule mwanaume alianza kumlazimisha yule dada kufanya mapenzi na mbwa wake kwa ahadi ya kumpa pesa lakini alikataa.

Kwahiyo kilichofanyika ni kubakwa maranyingi na kipigo juu. Bahati nzuri alifanikiwa kutoroka usiku wa manane na kuupitisha usiku kwenye makaburi mpaka siku ya pili yake kabla ya kurudi nyumbani alikozaliwa.

Jamani wasichana kuchukua mda kumjua mwanaume sio mbaya na wala sio dhambi. Mjue mwanaume unayetaka kuishi naye kama mume na mke. Kama kawaida muombe mungu na kushirikisha watu kumchunguza mtu huyo na ni kwa faida yako wewe.
Vp kuhusu
t.gooooo
 
'wazungu huwa mnasema loaded'?? wewe muanzisha thread ndo wazungu wenyewe sio?

makaburini ndio akatokea tz from Europe?
 
inatokeaje from nowhere unapendana na mtu humjui a wala b mh it doesn't make sense
 
Makaburini usiku, asubuhi akarudi alikozaliwa. Imekaa poa sana
 
Hadithi hadithi..hadithi njoo utamu kolea
haya hapo zamani za kale kulikuwa na binti mmoja mzuri sana kama malaika,alikuwa ni mtoto wa pekee katika familia yao na wazazi wake walimpenda sana binti yao kila alichotaka alipewa alipotaka kwenda alienda binti huyu siku moja!!!mmh ntarudi.
 
Kama yupo Loaded. Why asinunue bike LA mbwa wake dime? Yaani kama anaweza mpromise my wife mahela yote hayo why ?
View attachment 241965

Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu.

Juhudi zote za wazazi na ndugu wa karibu kumshauri hazikufua dafu, dada ndiyo huyo alikuwa ameishakanganyikiwa na anachotaka ni ndoa tu.

Baada ya miezi miwili ya yule jamaa kurejea, walifunga ndoa nakurejea majuu kwa fungate yao! Kumbuka kwamba walikuwa hawajuani kabisaa na wala hawakuwahi kuwa hata marafiki, hiyo inaitwa adventures!!

Walipofika tu kwenye makazi ya yule jamaa, na kusema kweli yule jamaa alikuwa na pesa, wadhungu tunasema loaded. Yule mwanaume alianza kumlazimisha yule dada kufanya mapenzi na mbwa wake kwa ahadi ya kumpa pesa lakini alikataa.

Kwahiyo kilichofanyika ni kubakwa maranyingi na kipigo juu. Bahati nzuri alifanikiwa kutoroka usiku wa manane na kuupitisha usiku kwenye makaburi mpaka siku ya pili yake kabla ya kurudi nyumbani alikozaliwa.

Jamani wasichana kuchukua mda kumjua mwanaume sio mbaya na wala sio dhambi. Mjue mwanaume unayetaka kuishi naye kama mume na mke. Kama kawaida muombe mungu na kushirikisha watu kumchunguza mtu huyo na ni kwa faida yako wewe.
 
View attachment 241965

Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu.

Juhudi zote za wazazi na ndugu wa karibu kumshauri hazikufua dafu, dada ndiyo huyo alikuwa ameishakanganyikiwa na anachotaka ni ndoa tu.

Baada ya miezi miwili ya yule jamaa kurejea, walifunga ndoa nakurejea majuu kwa fungate yao! Kumbuka kwamba walikuwa hawajuani kabisaa na wala hawakuwahi kuwa hata marafiki, hiyo inaitwa adventures!!

Walipofika tu kwenye makazi ya yule jamaa, na kusema kweli yule jamaa alikuwa na pesa, wadhungu tunasema loaded. Yule mwanaume alianza kumlazimisha yule dada kufanya mapenzi na mbwa wake kwa ahadi ya kumpa pesa lakini alikataa.

Kwahiyo kilichofanyika ni kubakwa maranyingi na kipigo juu. Bahati nzuri alifanikiwa kutoroka usiku wa manane na kuupitisha usiku kwenye makaburi mpaka siku ya pili yake kabla ya kurudi nyumbani alikozaliwa.

Jamani wasichana kuchukua mda kumjua mwanaume sio mbaya na wala sio dhambi. Mjue mwanaume unayetaka kuishi naye kama mume na mke. Kama kawaida muombe mungu na kushirikisha watu kumchunguza mtu huyo na ni kwa faida yako wewe.

Hi ya Mbwa huwa ipo siku zote tu
 
Nahisi hii story inakuhusu wewe mwenyewe.
 
Kwakwakwa! kwa! Hongera kwakwakwa! kwa! Imara kwakwakwa! kwa! Waaa!
 
Labda story zinafanana sababu incidence za mbwa si moja...toka niko mdogo nimeanza kusikia vyangudoa wanoshobokea wadhungu wanalazimishwa hii michezo...na case nyingine wala si siri maana zinaripotiwa polisi...

Sasa mwaweza sema amerudia sory kumbe ni just one of similar stories...
 
Back
Top Bottom