miss chagga nimeshamwambia amlete kwangu ntampa dawa bure kabisamtafutie mwenzie atatafuta watu wakumueleza kakosea wapi?:smile-big:
miss chagga nimeshamwambia amlete kwangu ntampa dawa bure kabisa
Sio hana hamu na tendo la ndoa ni kwamba HANA HISIA NA WEWE
A ha ha unauwezo ?
Ninao kabisa
Ninayo bidhaa moja inaitwa Mult-Maca.Ni mahususi kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na pia inasaidia mambo mengine yanayosababisha mtu kukosa hamu ya tendo la ndoa kama kupunguza stress na kubalance kiwango cha chuma mwilini. PM kwa maelekezo zaidi.