Rehearsal pal

Rehearsal pal

Yieen

Senior Member
Joined
May 8, 2012
Posts
103
Reaction score
27
Natafuta msichana wa kubadilisha nae mawazo ila awe 29+ kuna mambo nataka kujua kabla sijaingia katika ndoa watoto please dont.
 
Ukubwa wa umri si uwezo wa mtu kuweza kufikiria na kuona mbali na kutatua kila tatizo,age is just a number.
Wapo wenye umri mdogo lakin wana uwezo wa kufikiria ipasavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom