Grace Komba
Senior Member
- May 26, 2013
- 131
- 48
Simuamini wala simpendi tena mwanaume wangu nimekuwa nae katika mahusiano huu mwaka wa3 sasa aliniomba anioe nikamkubalia.
Tatizo likawa upande wa dini kwakuwa nilimpenda sana sikuona tatizo kuwa Muislamu hata kama wazazi wasingependa baada ya makubaliano haya.
Anicheka hakuonyesha kujuta nakumbuka akaniuliza kwa kejeli sasa unamlilia nani hapa nliumia nilitamani kufa mpenzi nliyempenda na kumuani leo anionei huruma nikampigia yule mwanamke yule dada akanijibu mbona huyo mwanaume wko ameniambia hana
Ushauri tafadhali