About three months ago nimehamia katika nyumba moja na baada ya kusign mkataba na mambo kama hayo, Father house alichoniambia cha kwanza ni "Ndugu, hivyo vyumba vya nje kuna wanawake wawili, kama unataka usalama humu ndani naomba usiweke mazoea na Mama Rose..ana Bwanake humu ndani ila ni malaya kupindukia na wala hana hata aibu" Nikamwambia poa.
Sasa huyo dada anapenda story lakini nilijitahidi kumwepuka, ingawa kwa miezi yote hii sijamuona na mishe.
Jana nimepata story ya maisha yake na huyu Bwanake inasikitisha kidogo.Wamefahamiana kama miaka kumi sasa na wameishi pamoja kwa mika 7 na wana mtoto wa miaka 4..sasa huyu jamaa Bwana ni pombe mtu..hana kipato kikubwa lakini hata hicho kidogo anachobahatisha kinaishia kwenye urabu.
Miaka kama mitatu ilopita jamaa mambo yalienda vibaya kiasi kwamba akakosa hela ya kodi ikawa yeye ni kuchomoka mapema na kumuachia mkewe msala..at the same time mkewe alikuwa anasumbuliwa na maumivu kwenye ziwa lakini jamaa hata kutia bidii kumtibia hakuna..yeye ni lager tu.
Sasa around that time jamaa akiwa kwenye mishe walikuta nyumba inaungua ikabidi watoe msaada na katika kuokoa vitu yeye na mshkaji mwingine wakaibuka na kitu kama million moja na laki tatu..wakanyuti at the end of the day wakagawana.
Jamaa kwanza hakurudi home siku hiyo makazi bar na "wana" mpaka asubuhi. Aliporudi na kuingia bafuni wife akazama kwenye suruali akakuta kitu kama laki tatu na nusu akazirudisha na kukausha jamaa kapumzika kidogo then katoka kurudi usiku ana buku 32 anapumua tu harufu ya pale Ilala breweries mke kakausha.
Baada ya wiki ndo story ikaleak kuhusu kubamba mshiko kwenye burning house na kufuru aliyoifanya bar siku hiyo mke wake katoka na jero akawa anaelekea kwa shosti yake kupoteza mawazo huku maumivu ya ziwa yanaendelea njiani bodaboda kamfuata kumchombeza amkodi dada kamawambia mi sina kitu natembea tu kwa mguu jama alipokomaa demu akamwambia nina jero bodaboda akamwambia poa nakupeleka kwa hilo jero, demu akapanda pikipiki
Kama kawaida yao jamaa akaanza kumtokea, demu akamchomolea..jamaa akakomaa wee mpaka demu akachukua namba kwa makubaliano kwamba angempigia (mwanamke angepiga) aliposhuka kikaratasi cha namba akatupilia mbali.Kumbe jamaa alikuwa kafika bei kwa hiyo ikawa daily kuwinda mitaa ile alomshusha mpaka siku akamuotea njiani kakaa pembeni mwa barabara.
Jamaa kakumbushia ishu yule dada akamwambia hawezi kuwa na mtu kwa sababu anaumwa muda mrefu sasa (ila hakumwambia kama anaishi na mtu). Baada ya maongezi marefu jamaa akajitolea kumpeleka hospital kesho yake kwa gharama zake na kweli wakaenda na bodaboda ikamtoka 75 kilichoendelea baada ya mdada kupata nafuu it is easy to guess ila in short bodaboda ni mchepuko wa mdada kwa zaidi ya miaka miwili na miezi kadhaa.
In the mean time mwenye mke akitoa buku tano ya msosi hajishughulishi tena mpaka baada ya siku tatu au nne alikuwa anamuona mke anameza dawa wala haulizi kazipataje na hata kuulizia maumivu ya ziwa yalipoteaje hamna kimya tu ni yeye na pombe kwa kwenda mbele, sasa mdada anasema kachoka anamwambia jamaa amuachie asepe jamaa michozi inamtoka full kutusumbua mi na father house na mshikaji mwingine tumbembelezee sijui kama bodaboda anahusika hapo.
I am not sitting in a judgment seat lakini kwa mtindo huu mi nasema "dada chepuka all you can"
Sijui we unaonaje