Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Nimejkuta naposti hiki kitu maana sijui ni mimi au na nyie. Kuna kijana mtaani hajawahi kukaa na mimi hata kusema I LOVE U tuwe wapenzi au kunionesha ananipenda kimapenzi hiyo hakuna...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Viongozi husikeni na kichwa cha somo hapo juu.Kama mtakumbuka takriban wiki moja iliyopita nilikuja hapa kuomba msaada wa mawazo. Kuhusu mchepuko wangu Wa miaka mingi kama saba hivi na ambao...
3 Reactions
102 Replies
13K Views
Nilikuwa saloon moja nanyoa nywele za kichwani, ni ya kiume lakini imepakana na ya kike, ghafla nikasikia sauti kubwa kutoka loudspeaker ya simu, sijui ni tecno hiyo, mwanaume akiongea na mdada...
4 Reactions
48 Replies
11K Views
Habari wanajukwaa, Leo napenda kuwahusia vijana wenzangu ambao wamefikia umri wa kuoa kupata chaguo sahihi. Tunaona miaka ya hivi karibuni ndoa nyingi zipo kwenye migogoro ya hapa na pale na...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari, Hivi jamani huu mtindo wa siku hizi katika kitchen party wa kutumia maiki mnauonaje? Sikuhizi ni maiki tu na watu wote waliokaribu na eneo la tukio huwa wanasikiliza. Sidhani kama ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jaman naomba ushauri, kila mwanamke/msichana nae mpenda tunaachana bila yakufikia lengo. Kuachana huko kunakua hakuna sababu maalumu. Nilitokea kumpenda msichana mmoja lakin nae akasema tuachane...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Katika mizunguko yangu nilikutana na Mzambia mmoja wakati tukijipumzisha kwenye bar moja huko,nilipojitambulisha kwake kuwa mimi ni Mtanzania, aliniambia kuwa alipokuwa akifanya kazi ICTR huko...
0 Reactions
61 Replies
28K Views
Habari wakuu, Majanga kila kukicha yananikumba,baada ya ile skendo ya jana niliyopost humu kuwa mke wa jirani akimbilia kuja kulala kwangu kisa mumewe anataka kumkata mapanga na baadae akalala...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
natafuta mwanamke m2 mzima, mimi nina umri wa miaka 25, awe anajiheshimu, asizidi miaka 38, sihitaji fedha toka kwake bali mapenzi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo vipi hapa jukwaani, Dada zetu sometime mnazingua sana hata hapa jukwaaani,nani kawadanganya nyie mko perfect kwenye mahusiano? Sometime hata hapa jukwaani utakuta mtu anaandika eti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari za Leo, Nina Rafiki yangu tulieshibana kwa miaka mingi ambae amekimbia familia yake, na kuniachia dhahama.Iko hivi Huyu jamaa tunatokea sehemu moja na tulisoma chuo kimoja na baadae...
3 Reactions
64 Replies
10K Views
Wasaalamu mabibi na mabwana na wasio mabibi wala mabwana humu jamvini, Hii zaidi itawalenga wale ambao walipokuwa katika mahusiano ya walishaanza kutekeleza yale matendo ya ndoa sio ngono peke...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Iam a boy, natafuta mpenzi anaeishi mkoani Tanga. Alie tayari aniPM.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HIvi ukimkuta mchumba wako kachorwa love pajani na mpenzi wake wa zamani alafu mpaka jina lake linaonekana na hata ufanyaje halifutiki. Je, utafanyaje? Ni hali ya kawaida tu na utaendelea kumpenda?.
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! (Kwaresma imeishaaa jamani tuonane Ramadhan) Mara nyingi katika maongezi yangu na vibinti vya huku mtaani...
12 Reactions
172 Replies
33K Views
Wasaaaalam:p, Kwa muda mrefu sasa baada ya kuachana na mpenzi wangu niliempenda toka moyoni miaka mitano iliopita namshukuru Mungu kwakupenda tena. Nilijua ungekua mwisho wa mimi kuwa na mapenzi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu. Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 28.Ni mfanyakazi na elimu ni shahada ya awali. Dini yangu mkristo. mimi ni mrefu, sio mnene. rangi yangu maji ya kunde. Najitokeza hapa kwa mara nyingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna mapunga wa kutosha humu jf, hasa mmu, Lifehacker nimebaini. Wengi bila woga hata aibu wanapost topics zinazoashiria kuwa wao ni wanawake, wameweka avatar za kike, wanatumia majina ya kike...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Yaani we kazi kubwa ni kuhakikisha mambo ya home yako vizuri basi. Nguo unafuliwa wengine wanafuliwa hadi boxer, maji ya kuoga unapelekewa hadi bafuni. Msosi we ni kukaa tu mezani unakuja...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…