Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 693
Wasaaaalam😛,
Kwa muda mrefu sasa baada ya kuachana na mpenzi wangu niliempenda toka moyoni miaka mitano iliopita namshukuru Mungu kwakupenda tena.
Nilijua ungekua mwisho wa mimi kuwa na mapenzi ya kweli ila weekend hii nimempata ambaye ndani ya moyo wangu naskia upendo kabisa.
Najua hayumo humu ila nimewashirikisha kwakua mmekua washauri wangu wazuri. Angalau sasa nina furaha na yale mawazo yote ya kuumizwa yamekwisha.