Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,013
Yaani we kazi kubwa ni kuhakikisha mambo ya home yako vizuri basi. Nguo unafuliwa wengine wanafuliwa hadi boxer, maji ya kuoga unapelekewa hadi bafuni. Msosi we ni kukaa tu mezani unakuja ukichelewa bila sababu za msingi unaruhusiwa kutembeza kichapo.
Pasi unapigiwa na viatu unabrashiwa. Nyumba unasafishiwa na kitanda kutandikiwa. Wikiendi unaamka zako saa 4. Unawekewa maji unaoga, unawekewa msosi unapiga.
Unasubiri lunch unapiga kasha unaingia ndani unatoa nguo zipigwe pasi na viatu vibrashiwe ili ukapige ulabu au uende kwa mchepuko.
Najiuliza hivi wanaume wa kizungu, kichina na kijapan wana raha kama wakiafrika?