Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Kuna mapunga wa kutosha humu jf, hasa mmu, Lifehacker nimebaini. Wengi bila woga hata aibu wanapost topics zinazoashiria kuwa wao ni wanawake, wameweka avatar za kike, wanatumia majina ya kike, wanajipambanua kama wanawake, ni ajabu hata siamini. Mbaya zaidi kuna ambao ni watu wazima kwa umri.
Kweli binadamu amefikia mahala pabaya sana.
Ushauri wangu, jioneeni aibu, acheni huu uzandiki!
Kweli binadamu amefikia mahala pabaya sana.
Ushauri wangu, jioneeni aibu, acheni huu uzandiki!