Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1.Ninakupenda sana,nikajitolea kwa kila kitu,nikakujali,nikakuheshimu,nikakuita "mume wangu " nilikuita kwa kumaanisha,nlikuwa tayari kila unachosema nakifata,kila unachotaka nakufanyia,nikawa...
7 Reactions
124 Replies
21K Views
Jamani imekuwa kawaida watu kuomba ushauri kwa mambo mbalimbali yanayotuhusu kama familia ya MMU,tunahitaji sasa ukiomba msaada wa mawazo uwe unatuletea mrejesho wa kile tulichokushauri,coz...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi habari ya asubuhi, Yamenikuta mwenzenu kuna mwanamke moja jirani yangu sasa tunaheshimiana sana tu kumbe yeye ananitaka siku nyingi mimi sikujua juzi kaja kwangu jioni kuomba kibiriti...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Heri ya pasaka wanaJf, Mwezi mmoja uliopita nilimpata mdada katika kupiga storiez nini,nikamtupia macho na yeye akawa ameitikia nikasema basi sawa ngoja twende ili tuone hatua yake maana mdada...
0 Reactions
124 Replies
15K Views
Naitwa emmi,nahitaji mwenza wa maisha miaka kuanzia 39-43 awe na siha njema mwenye muonekano mzuri awe mcha Mungu na awe mwenye kujishughulisha,kujiamini,awe na mtoto walau mmoja.Je wewe una sifa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari ndugu wanajamvi, Nimekuwa katika mahusiano na mabinti kadhaa mpaka sasa,nilicholearn ni kuwa siku zote nikimpelekea mpenzi wangu zawadi ndogo tu yaani Ch.upi,Perfume au Chocolate. Huwa...
3 Reactions
133 Replies
28K Views
Ni hatari kuwa katika mahusiano na mtu ambaye ni mkatili, mtu hasiyeshawishika, kitu chochote anachosema yeye hakina mjadala!Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa kwenye mahusiano yenye hatari! Ni...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Habarini wana Jf, Mimi kabla sijaoa nilibahatika kuwa na msichana anajua mapenzi,anakata mauno huyo mpaka mtu mzima nilikuwa nadata. Kwa bahati mbaya akaolewa kaniacha bila sababu yamsingi,ndipo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kweli tembea uone mengi,mpenzi wangu mpya hajawahi kuota nywele sehemu za siri(Hairless) sehemu za siri,yani yuko kama mtoto mdogo. Ananiambia hata yeye hajui kwanini imemtokea hivyo maana...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Habar wana JF? Mim ni kijana m tz nimetokea kumpenda dada mmoja yeye ameajiriwa katika hotel flan maarufu hapa jijin. Hv sasa nina mpango wa kununua vitu vya ndan kama vile KITANDA,GODORO...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nahitaji mke wa kuoa kama tukikubalina bada ya kuwasiliana, Nahitaji awe Muslim kabila lolote pia umri wowote sio tatizo akiwa Dar-es-salam ni bora zaidi awe na kibaruwa chochote. Mimi nina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, Hemu leo tuzungumze kidogo kuhusu haka katabia ka kudharau wanaume.utakuta mdada mzuri kweli kweli, nyuma yuko masharahhh amejaliwa neema za alah, mtoto sura nzuri miguu...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Wana JF naomba kuuliza ni kwa vipi unaweza kuwalipa fadhila wazazi kwa malezi yao angalau kurejesha kile walichokupa au kutoa kwaajili yako mpaka umefikia umri wa kuanza Na maisha yako. Naomba...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hivi karibuni nilikuwa Dar es salaam kwa likizo fupi, nikashangaa mtaani kwetu, msiniulize maeneo gani, nilikuta wakaazi wengi waliokuwa wakifuga kuku wa mayai au wa nyama wamebadili biashara na...
13 Reactions
44 Replies
9K Views
Lauren Hartman popular blogger in USA amesema anampenda mtoto wake wa kwanza .amewashangaza watu mitandaoni.Hivi mnaamini Mzazi anamtoto anaempenda zaidi ya mwingine hasahasa wa kwanza ?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
cha kushangaza mda wote lazma anaitafute kwa simu hivi hapa kuna nn msaada wakuuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani watu wengi wanajua kuwa punyeto ndio ndoto nyevu na ndoto nyevu ndio punyeto. Hii ni sahihi? Mi nadhani kwamba punyeto ni hali ya kujishinikizia tendo la ndoa pasipo hiari ya mwili. Na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tumeliachia soko wanetu Malezi ni msingi wa elimu kwa vijana wetu. Tokea mfumo wa soko huria malezi ya watoto wetu tumeliachia soko liwalee. Ni aibu kwa Taifa letu. Msingi uliokuwepo hapo kale...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna kijana alikuja kuniomba hapa kwamba kuna Binti anataka kumuoa km watakubaliana niwe mshenga yaani nimsaidie kupeleka barua ya kujitambulisha kwa wazazi wa binti. Leo amekuja kuomba...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nini kinasababisha mtu aidha (ME) au (KE) ku develop mapenzi juu ya jinsia nyingine kinyume yake? kwa wenye uelewa juu ya chemistry of love ashushe nondo hapa, kama hujui kitu tafadhali pita kimya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom