Huu ni unafiki katika mapenzi, kwanini uliamua kuwa nae?

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,318
2,000
Wasaalamu mabibi na mabwana na wasio mabibi wala mabwana humu jamvini,

Hii zaidi itawalenga wale ambao walipokuwa katika mahusiano ya walishaanza kutekeleza yale matendo ya ndoa sio ngono peke yake kiufupi huku kwetu wanasema "hukumnunua mbuzi kwenye gunia".

1.Ulijua kabisa hana uwezo wa kupiga magoli ya kutosha tangu mkiwa wachumba tu lakini ukakubali kuolewa nae.

2. Ulijua kabisa ana bwawa/kibamia lakini ukakubali kuolewa nae.

3. Ulijua kabisa ni mkorofi na alishawahi kukutandika makofi mara kibao tu.. lakini hukumwacha ukakomaa nae

4. Ulijua kabisa ni mlevi lakini hukuona kama ni la msingi

5. Ulijua kabisa ni malaya asieweza kuacha hizo tabia lakini ukaona haikupi shida.

6. Ulijua kabisa ni kembamaba kaangukia bafuni ilhali we unapenda wenye makalio mabubwa,lakini ukaamua kubebana nae.7. Ulijua kabisa ni mbishi kila unachomwambia lazima akubishie hata kama ni ya msingi lakini ukaona usivunje mahusiano hayo.

8. Ulijua kabisa ni bahili tangu mkiwa wachumba kukununulia soda tu ilikuwa mbinde leo unategemea akununulie gari.

9. Ulijua kabisa kuwa ni masikini lakini ukaamini mkatafute wote mtakapooana leo mwaka wa 20 hakuna mlichoendeleza.

10. Ulijua kabisa hawajali ndugu zako tangia mwanzo hakutaka hata mawasiliano na baba, mama, wala kaka au dada yako ila ukaona huyo ndo wako wa kufa na kuzikana.

Hayo yote na mengine uliyafahamu kabla hamjafunga ndoa, lakini mkaamua kuchukua maamuzi magumu ya kufunga pingu za maisha leo mna watoto wawili, au watatu au zaidi, hata kama kwa bahati mbaya mungu hajawajalia mtoto) ndo unayaoa hayo mapungufu ya mwenzio.

Sio kwa majirani, sio kwa majirani, sio kwa marafiki hadi kwenye mitandao sasa ni kumuanika mwenzio tu vipi na yeye akiamua kukuaniaka.

Hayo sio maisha kwanini hukuchukua maamuzi magumu ambayo yatakuja kukuumiza kwa muda ule tu ila baadae yakakupa furaha kwa kumtafuta kwenye sifa unazozitaka.

Wenu
FB.
 

Ty_Vigilante

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
2,737
2,000
:sly::confused::eek::rolleyes::p:D:eek:;):cool: people sometimes get confused na hujikuta wanaangukia kuti bovu..! We call it life soo we learn from it
 

Tarime one

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
2,251
2,000
Mapenzi upofu,pia kuna watu ambao ni wema sana before hawajaoa au kuolewa,but wakiingia ndani ya ndoa hukunjua makucha.

According na mawazo yako uko sahihi kabisa,ni kheri kuingia kwenye ndoa ukijua udhaifu wa mwenzio unakuta umeamua kwamba utavumilia,ila ukibadilika ikawa tena ni kero na ulijua tatixo before wewe ni bonge la mnafiki,

Na kuna watu wanajidanganya oh ngoja tuoane nitambadilisha wewe!!!kama wazazi wake walishindwa wewe ndio utaweza:what::what::what:be careful.
 

lubajaro

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
1,198
1,195
Wasaalamu mabibi na mabwana na wasio mabibi wala mabwana humu jamvini.....
Hii zaidi itawalenga wale ambao walipokuwa katika mahusiano ya walishaanza kutekeleza yale matendo ya ndoa... (sio ngono peke yake) kiufupi huku kwetu wanasema "hukumnunua mbuzi kwenye gunia"
1.ulijua kabisa hana uwezo wa kupiga magoli ya kutosha tangu mkiwa wachumba tu... lakini ukakubali kuolewa nae...
2. ulijua kabisa ana bwawa/kibamia lakini ukakubali kuolewa nae...
3. ulijua kabisa ni mkorofi na alishawahi kukutandika makofi mara kibao tu.. lakini hukumwacha ukakomaa nae
4. Ulijua kabisa ni mlevi lakini hukuona kama ni la msingi
5. ulijua kabisa ni malaya asieweza kuacha hizo tabia lakini ukaona haikupi shida.
6. ulijua kabisa ni kembamaba kaangukia bafuni ilhali we unapenda wenye makalio mabubwa.. lakini ukaamua kubebana nae.
7. ulijua kabisa ni mbishi.. kila unachomwambia lazima akubishie hata kama ni ya msingi lakini ukaona usivunje mahusiano hayo..
8. ulijua kabisa ni bahili... tangu mkiwa wachumba kukununulia soda tu ilikuwa mbinde leo unategemea akununulie gari....
9. ulijua kabisa kuwa ni masikini lakini ukaamini mkatafute wote mtakapooana leo mwaka wa 20 hakuna mlichoendeleza.
10. ulijua kabisa hawajali ndugu zako... tangia mwanzo hakutaka hata mawasiliano na baba, mama, wala kaka au dada yako ila ukaona huyo ndo wako wa kufa na kuzikana.

hayo yote na mengine uliyafahamu kabla hamjafunga ndoa.. lakini mkaamua kuchukua maamuzi magumu ya kufunga pingu za maisha.. leo mna watoto wawili, au watatu au zaidi... (hata kama kwa bahati mbaya mungu hajawajalia mtoto) ndo unayaoa hayo mapungufu ya mwenzio...

sio kwa majirani, sio kwa majirani, sio kwa marafiki hadi kwenye mitandao sasa ni kumuanika mwenzio tu... vp na yeye akiamua kukuaniaka???? hayo sio maisha... kwa nn hukuchukua maamuzi magumu ambayo yatakuja kukuumiza kwa muda ule tu ila baadae yakakupa furaha kwa kumtafuta kwenye sifa unazizitaka??

wenu

FB.
First Born ukistaajabia haya utayaona ya Aunty Ezekiel na Iyobo mpaka mimba, chezea mapenzi, ni kama kuwa kipofu vile!...
 
Last edited by a moderator:

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,894
2,000
mapenzi ni kusungu sungu.. acha kabisa tukiwa mbali mbali hatuoni kero ila tukisha kaa karibu kila siku yule yule kama kawaida yetu binadamu na hulka ya kuchoka .. tunachoka ndipo tunapoanza kutupa lawama ...... umakini katika kuchagua mwenzi ni muhimu .. ila wengine bahati mbaya kakutia mimba alafu huna option mmh ... mapenzi acha kabisa
 

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,318
2,000
Mapenzi upofu,pia kuna watu ambao ni wema sana before hawajaoa au kuolewa,but wakiingia ndani ya ndoa hukunjua makucha.

According na mawazo yako uko sahihi kabisa,ni kheri kuingia kwenye ndoa ukijua udhaifu wa mwenzio unakuta umeamua kwamba utavumilia,ila ukibadilika ikawa tena ni kero na ulijua tatixo before wewe ni bonge la mnafiki,

Na kuna watu wanajidanganya oh ngoja tuoane nitambadilisha wewe!!!kama wazazi wake walishindwa wewe ndio utaweza:what::what::what:be careful.

naweza nisiwape lawama wale wenzangu wenye misimamo yao ambao huoana wakiwa hawajakaribiana kiviiiilee... wengine utakuta walishaishi kabisa wakaamua kufunga ndia waishi kihalali.... hapo ndo maneno yanapoanza... sasa ulikubali ya nn??
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
People have the right but not the obligation to know! Mtu unamvumilia baadae anakuwa HAVUMILIKI sasa ndo unajiuliza WHY? analeta jueri wakati umemstiri na mambo kibao! Sasa zingine machungu yanakuzidi, anajifanya mbabe mbele za watu wakati wewe unamjua kiundani.:lol::lol:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom