Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 28.Ni mfanyakazi na elimu ni shahada ya awali.

Dini yangu mkristo. mimi ni mrefu, sio mnene. rangi yangu maji ya kunde.

Najitokeza hapa kwa mara nyingine natafuta rafiki wa kike.
Napenda awe mwenye hofu ya Mungu. Napenda awe mrefu na umbile la wastani.

Kama upo interested ni pm
 
Nenda kambi ya fis au magomeni kwa macheni kama uko Dar kuna wachumba pale mkuu

kama uko Arusha nenda shivaz au mlina bar au nenda matejoo kuna wachumba pale mkuu.

swissme
 
Nenda kambi ya fis au magomeni kwa macheni kama uko Dar kuna wachumba pale mkuu

kama uko Arusha nenda shivaz au mlina bar au nenda matejoo kuna wachumba pale mkuu.

swissme

kama hauna la kuchangia bora ukae kimya.... au ndio kutafuta umaarufu wa bei rahisi..
 
Nenda kambi ya fis au magomeni kwa macheni kama uko Dar kuna wachumba pale mkuu

kama uko Arusha nenda shivaz au mlina bar au nenda matejoo kuna wachumba pale mkuu.

swissme

watu wengine hovyoo! utadhani hawana a.ki.li timamu! umelazimishwa kucomment!? kama haikuhusu potezea sio kujibu pumba
 
Rafiki wa kike na physical appearance wapi na wapi ? Hiyo hofu ya Mungu wewe unayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom