Je, Kwanini wanawake wa kizungu wanavutiwa kimapenzi na wanaume wa Kimasai?

mwanalumango

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
232
277
Katika mizunguko yangu nilikutana na Mzambia mmoja wakati tukijipumzisha kwenye bar moja huko,nilipojitambulisha kwake kuwa mimi ni Mtanzania, aliniambia kuwa alipokuwa akifanya kazi ICTR huko Arusha alijifunza kuwa wanawake wa kitasha wanawazimia sana wanaume wa Kimasai.

Mimi nilikuwa sijawahi sikia hilo, hivyo nilitaka kujua zaidi ikabidi nimdadis kulikoni? Akaniambia kuwa Wanaume wa Kimasai wanapokwenda suna (Jando) huwa wanatengenezwa kiasi kwamba wanakuwa na mbili, moja kubwa moja ndogo.

Kila moja ikiwa na kazi yake special katika maendeo tofauti kwa wakati mmoja na hii inamfanya mwadada achanganyikiwe.

Kwakweli nilibaki pwa kama mchuzi wa dagaa, mgeni anafahamu mimi sifahamu.

Sasa hebu ndugu zangu mliopo huko, kuna ukweli gani juu ya hii kitu na hii design ya Jando inakuwakuwaje?

Kama ni kweli vipi Kina dada wa Kibongo Mliopo huko au wale mliopata bahati ya kuwa na hao wamasai kuna ukweli gani na kuna tofauti gani na sisi waswahili wenye jando la kawaida?

Kuna uwezokano wa mtu kufanyiwa marekebishi kuwa kama mmasai?
 
kwa hiyo makabila mengine yooooote ni waswahili isipokuwa wamasai!???

Na wadada wa kimasai si wa kibongo??

Anyway, watasha wanaweza kuwa kwenye xperment, na experment ya ngono lazima uingie ucheze
 
Hahahahahahaha
Tohala yao inafanana sana na wakaguru,kwani pindi wapelekwapo suna huwa ile ngozi haitolewi yote kama wafanyavyo hospitalini kwani hawa wao huenda kienyeji,ngozi ile hukusanywa na kutengeneza kauvimbe kingine mwisho wa kichwa na huelekezwa kwa chini,baada ya kupuna huwa ni kitu laini na ni kinakuwa na urefu wa mm kadhaa,

huwa kina kazi yake mala nyingi ni siri kupewa kazi hiyo mpaka uwe umepitia suna hiyo ya kienyeji
 
Mimi niko Arusha na ni kweli wanawake wa kizungu wengi wana marafiki wa kimasai tena wanapenda waliovaa kimila. Ninachojua mimi si kwamba wanwapenda kwa sababu ya maumbile yatokanayo na jando ila kutokana na wamasai kuwa na uwezo finyu wa kielimu na hivyo kuwa rahisi kwao kukubali kila kitu kama akina mama wakizungu wanavyo taka. Kwa kawaida akina mama wa kizungu wanakuja kwa malengo maalum na si kutaka mapenzi bali wana mission mbalimbali ambazo hawataki watu wajue. Kwa sababu wamasai siyo wadadisi na wajanja huwa wanapendwa na hawa akina mama ambao huwatumia ili kupenetrate sector ,maeneo ya vijijini n.k. Kwa hiyo hawa wazungu hawapendi kabisa mtu aliyekwenda shule au mjanja kwa kuogopa kuchunguzwa chunguzwa na hila zao kugundulika. Ukiangalia wamasai wapenzi wa wazungu ni wale ambao hawajasoma kabisa kwani wamasai waliosoma sijaona mwenye rafiki wa kizungu.

Ninao mfano wa wazungu wachache waliojitafutia rafiki wa kimasai na hatimaye kuanzisha asasi kubwa hapa Arusha mfano mmiliki wa Shule kubwa ya St. Jude ni mama wa Australia aliyeolewa na mmasai baada ya kukutana naye alipokuja kama mtalii. Mifano iko mingi ila HIYO NDIYO SABABU KUBWA WANAWAKE WA KIZUNGU WANAPENDA WAMASAI
 
Mie nipo cngida na nshakula wazungu wawili wa kijerumani na mie c masai ni mchagga! Sasa ndugu hapo wasemaje??
 
ukweli ni kwamba kabila la maasai ndicho kivutio kinachotuwakilisha waTZ huko kwa watasha so inakuwa ngumu kwa wao kutafuta makabila mengine ili ku socialize wanapokuja TZ kufanya utalii.
 
Nadhani koz wamasai wamajua mitishanta ndy inatumika kuwavuta watasha,by da way kwangu wazungu hawana mvuto!
 
Mkuu Kongosho, huyu jamaa inaelekea ni mmasai pia. Maana ndivyo wanavyojichukulia. Ukimkuta mdada wa kimasai aliingia town atakwambia yeye sio mmasai bali ni mswahili. Ama wamasai wa kiume watakwambia ww nimswahili akimaanisha ww cio maasai boy.
 
Preta where are you Sweets? Somebody need to hear from you hapa....

Ukweli ni kwamba wanaume wakimasai wanaachiwa hiyo kitu uliyosema wakati wa tohara lkn kurudi kny main theme ya topic yako hasa kwa Arusha,ninachojua wanawake wa kizungu wanapenda sana wanaume wa kiafrika be a maasai au kabila lingine lolote! Kwanza zaidi wanaopendwa ni marasta
 
Back
Top Bottom