Habarini wana Jf,
Mimi kabla sijaoa nilibahatika kuwa na msichana anajua mapenzi,anakata mauno huyo mpaka mtu mzima nilikuwa nadata.
Kwa bahati mbaya akaolewa kaniacha bila sababu yamsingi,ndipo nilipoamua kuoa huyu mke niliyenaye kwa sasa.Kinachonishangaza ni kuwa kwenye sex ni mvivu,alafu hajitumi kitandani kidogo/moja tu mtu kachoka.
Mpaka namkumbuka yule msichana ilikuwa 24 hrs service available inaniuma sana.Sipati raha kama enzi zile, sasa ebu niambieni kuwa fit sex ni nature au experience? nimfanyaje ili awe kama yule.