Is it ok to have a favorite child

Is it ok to have a favorite child

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Lauren Hartman popular blogger in USA amesema anampenda mtoto wake wa kwanza .amewashangaza watu mitandaoni.Hivi mnaamini Mzazi anamtoto anaempenda zaidi ya mwingine hasahasa wa kwanza ?
 
Si lazima awe wa kwanza au wa mwisho pekee ila kila mzazi huwa anamtoto anayempenda zaidi kutokana na kitu anachokiamini kipo kwa mtoto huyo.
 
Watoto wako unique sana. . . . . maoenzi huenda yakibadilika labda kutokana na historia ya ujauzito mpaka kuzaliwa, anavyoendelea kukua na jinsi anavyopokea maelekezo yanayojenga tabia yake!!

Reciprocity ya mtoto kwa mzazi inaweza fanya umpende mtoto say akipatwa na kitu lazima akuishirikishe kizuri au kibaya na kuna ambaye ni msiri yeye kimya tu na kuficha ficha hisia na vitu hapa bonding na sio mapenzi haswa . . . Haviwezi kuwa sawa. . . . . .unaweza kuwa unaenda dukani ukasema ngoja niende na wanangu ukiwaita yule mmoja anakuja fasta mwingine anaweza jibu "mi siendi nileteeni pipi" sasa wataokuona mara nyingi na huyu mnaebond vizuri wanaweza sema wewe unampenda zaid huyu na ule urafiki sasa mzazi unaweza kuta anamtuma sana huyu "rafiki" kuliko aliyebaki lakini wote unawapenda sana tu. . .. .

Mumba akikupa umri mrefu na watoto wakakua ni wajibu wako kuchagua "successor" sasa hapa histoira na tabia zao ndio zinakuongoza kuona huyu anaweza waongoza wenzake, kuwajali, kutowadhulumu na vitu kama hivyo sasa vikao vya maandalizi vingine utakuwa naye peke yake na vingine watakuwa wote sasa hapa "itaonekana unampenda" sana huyu lakini ki ukweli ni kuwa unamtwisha sasa majukumu so lazima uwe naye karibu na umpe jukumu hili kwa upole ili aone ni wajibu na sio adhabu. . . .

Ni changamoto tu ya kulea. . . . .favourites wanaweza kuwepo kutokana na matukio ya kimaisha. . . When it comes to this Ennie is the best but in this situation take MANI to task. . . . . . .may be favourite is subjective and dynamic
 
Last edited by a moderator:
Si lazima awe wa kwanza au wa mwisho pekee ila kila mzazi huwa anamtoto anayempenda zaidi kutokana na kitu anachokiamini kipo kwa mtoto huyo.

"kitu anachokiamini kipo kwa mtoto". . .. . .kama kila mtoto ana kitu unique "kumpenda zaid " kunatokana na nini??!!!
 
Kwenye vitabu vya mapokeo kuna sehemu inasema "natufanye mtu kwa mfano wetu akatawale vitu vitambaavyo, virukavyo angani na vilivyopo baharini". Kama yeye aliyetuumba kuna anaowapenda zaidi itakuwa sisi mfano wake.
 
I think it's ok to have a favorite child, just not ok to show it, even much worse kama huyo blogger. I will have my favorite too, mazingira, tabia, na jinsia vinaweza kuchangia.
 
from what Ole has said,
to have is fine but not to show it out that he/she is your favorite as it may create enmity with his her siblings
 
Si lazima awe wa kwanza au wa mwisho pekee ila kila mzazi huwa anamtoto anayempenda zaidi kutokana na kitu anachokiamini kipo kwa mtoto huyo.

Bazazi akizaa mtoto wa kike aliyemfanana mama yake mtoto anakula malike ya kutosha, kadhalika mwanaume mwenye ndoa mpenda michepuko akijaaliwa mtoto wa kike anayefanana na mmoja wa michepuko wake basi mtoto atapata malike ya kutosha!
 
A parent simply loves his/her kids in different ways, and for different reasons. And thats too depends on parent's choices, circumstances etc. And sometimes it just happens naturally, that you give much affections and attention to one of your kids than another ( some kids are Easy to get along with)

Its just like u have your favorite kid on certain days. Eg. U real like a certain type of food, and whoever serves u that favorite dish of yours on that particular day, will be your favorite kid on that day etc

As a parent, u ain't supposed to show that Ur kid XXx is ya favorite kid. Your kids shouldn't feel like they have to compete for your affection and attention.
 
from what Ole has said,
to have is fine but not to show it out that he/she is your favorite as it may create enmity with his her siblings
Anhaa and kids are sensitive. . .They can easily go back to their shells when they feel rejecetd or segragated in one way or another
 
Back
Top Bottom