Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

Gazaniga

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
1,051
Reaction score
361
Habari ndugu wanajamvi,

Nimekuwa katika mahusiano na mabinti kadhaa mpaka sasa,nilicholearn ni kuwa siku zote nikimpelekea mpenzi wangu zawadi ndogo tu yaani Ch.upi,Perfume au Chocolate.

Huwa wanafurahi sana kuliko hata nikiwatumia pesa au kuwanunulia sufuria,gas cooker etc. Na hii ipo hata kwa mabinti wakubwa wakati wengi wanaonga hela nyingi sana.

Wakiamini madem wao wanataka pesa tuu,mimi siku nikiwapa hivyo vidogo hapo naweza pewa mzigo siku hiyo hiyo. Hivi hivyo vitu vina uhusiano gani na mapenzi?

Hebu wanaume wapeni hivyo vizawadi mtest mtaona wakikuchekea tu au kutabasamu mara kwa mara.
 
Yeeeah na umfurahishe na kumtimizia haja zake on bed..! Hatakusahau for example Me all my X's nlioachana nao hata leo nkiomba mchezo siambiwi "No au im bussy"
 
Hahaaaa naona jina lina-ressemble na maneno hapo

mkuu maisha mahesabu we kila nikiangalia ndroo imejaa michupi ya Ed n Edd nEddy.. mara ya Kyenju aisee hapana nipe pesa mshahara wangu nisitumie nije nii nunue gari ni nunue kiwanja ndiyo ukumbusho mzuri hapana mipichu
 
Last edited by a moderator:
mkuu maisha mahesabu we kila nikiangalia ndroo imejaa michupi ya Ed n Edd nEddy.. mara ya Kyenju aisee hapana nipe pesa mshahara wangu nisitumie nije nii nunue gari ni nunue kiwanja ndiyo ukumbusho mzuri hapana mipichu

You made my day kwa kweli miss chagga ... una ndoto za kumiliki Lamborghini/RR/Bentley/Bugatti?

Kwani hutaki zijae ufungue duka la kuuza pichu maana zitakua ni rangi tofauti tofauti ingawa saizi moja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom