Kujichua na ndoto nyevu ni sawa?

Kujichua na ndoto nyevu ni sawa?

ALLY NKANABO

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
13
Reaction score
3
Jamani watu wengi wanajua kuwa punyeto ndio ndoto nyevu na ndoto nyevu ndio punyeto.

Hii ni sahihi? Mi nadhani kwamba punyeto ni hali ya kujishinikizia tendo la ndoa pasipo hiari ya mwili.

Na ndoto nyevu ni ndoto inayomtokea mtu usingizini ikihusiana na tendo la ndoa.
 
Hivo hivo hata me huwa najua ni hivo may be kama kuna maelezo tofauti na hapo kwa wataalamu..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom