The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,085
Wakuu kweli tembea uone mengi,mpenzi wangu mpya hajawahi kuota nywele sehemu za siri(Hairless) sehemu za siri,yani yuko kama mtoto mdogo.
Ananiambia hata yeye hajui kwanini imemtokea hivyo maana hajawahi kuota nywele sehemu za siri wala kwenye vikwapa.
Je hii inawezekana ua kuna mtu alishawahi kukutana na mtu kama huyo?