The perfect wife

The perfect wife

Inkhubu

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
357
Reaction score
216
Ni mara nyingi sana wanaume tunakuwa na excuses nyingi sana za kutufanya tutoke nje ya ndoa sababu nyingine zinaweza zikawa somehow justified na nyingine they are just sababu tu zisizo na mashiko.

Sasa kuna huyu jamaa yangu ambaye ana mke muelewa, mke kalelewa na anajua thamani ya ndoa. Kila vituko anavyofanya jamaa yangu, mke wake anakuwa polite sana, anasamehe na mara nyingi wala haulizi.

Na jamaa ana uhakika angalau asilimia 99.99 kuwa mke wake ni muaminifu katika ndoa yao na hivyo si mara moja au mbili huwa ananiambia "Inkhubu eeh, watu wengine sijui tumelaaniwa? Hebu muangalie Mama mzuri wa sura, tabia, umbo, mapishi, msafi lakini eti nahangaika na viruka njia" mimi huuishia kucheka tu

Sasa bwana huyo wife is so perfect kiasi kwamba jamaa huwa ndo kimbilio lake anapokuwa anapitia magumu ya aina yoyote. Mke humsikiliza matatizo yake na kumpa ushauri unaofaa pamoja na pole za kutosha. Kituko juzi jamaa yangu aliufumania mchepuko wake katika room aliyoupangishia.

Basi katoka kwa hasira mpaka home kamkuta wife amekaa sebleni. He! wacha aanze kumpa mkanda"mama flani eeh, yaani kuna mijitu hairidhiki. yaani huyu changudoa nilimuokota bar, nikamtafutia chumba, hela ya kula nampa kila siku.

Still eti nimelikuta limeingiza bwana humo humo ndani" wife akamuuliza "sasa umeamuaje?" Jamaa hapo hapo si ndo kastuka keshalikoroga

Ungekuwa wewe ungefanya nini?
 
Mmmmh........
Nina vichwa kama viwili hivi vya adisi.......nataka nikuletee uvipe story..........
 
😛eace::majani7::majani7::majani7::majani7::spider::spider::majani7::brushteeth:
 
Hello!
Mshauri rafiki yako atulie na mkewe, michepuko ni kujitengenezea Laana
 
Back
Top Bottom