Kwa wanawake: Kutongozwa huku kuna dharau

Kwa wanawake: Kutongozwa huku kuna dharau

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,437
Reaction score
4,791
Kama kuna mwanaume anakutongoza, huku akijua kabisa una mahusiano ambayo yapo stable na yamkini anamjua mpenzi wako halisi, ujue anakudharau, anakuona uko cheap, unapatikana kirahisi.

NB: Si kila suruali imevaliwa na mwanaume.
 
hajiheshimu yeye na anajivunjia heshima mwenyewe!
 
Jaman dada angu kungwi maarafu amefungua akaunti IG atakua anawafunza utamu wa chumbani
Search stailzamahaba na mumfolo kabla hajawa private twenden jaman kwa fujoo
 
Sasa mbona huwa hamkatai?so theory yako kwamba mko cheap na mengineyo ni kweli.
 
Jaman dada angu kungwi maarafu amefungua akaunti IG atakua anawafunza utamu wa chumbani
Search stailzamahaba na mumfolo kabla hajawa private twenden jaman kwa fujoo

Katupiamo tupicha?
 
Na mwanamke kama yupo kwenye mahusiano kwa nini atoe hata upenyo wa kutongozwa?
 
Sio kweli nadhani itakuwa amefurahishwa na namna unavyojiheshimu na unavyoheshimu mahusiano yenu so angependa kuwa na mwanamke kama wewe na kwa kuwa hamjaoana na huyo mwingine wala Pete ya uchumba huna nae anajaribu kumbuka uchumba Sio ndoa na mtu wa hivyo usimkaripie mjibu kwa hekima coz huijuikesho.
 
Kama huyo mwanamke nae ni mchele mchele wacha tuu watu wamwage sumu...!
 
Na mwanamke kama yupo kwenye mahusiano kwa nini atoe hata upenyo wa kutongozwa?
Hiki ndo cha ajabu zaid...eti anakupa nafasi ya kuongea afu mwishon anakwambia hayuk tayr..ndo mana na sisi hua tunang'ang'ania mpaka kieleweke..
 
Hiki ndo cha ajabu zaid...eti anakupa nafasi ya kuongea afu mwishon anakwambia hayuk tayr..ndo mana na sisi hua tunang'ang'ania mpaka kieleweke..

Mwanamke aliyeko katika uhusiano (na hii ni kwa wote kwa kweli) halafu anaruhusu kutongozwa hafai kabisa huyo.
 
Hamna kitu kama hicho

Wanaume kwa kutesti zali...... ukilegea tu analamba
 
Ukijilegeza tu ndani ya penalty box......kitu ndani. Nikucheleweshe ili iweje sasa
 
Haya mambo yaacheni tu jamani kila mtu aombe mungu wake janga lisimkute.hayana kanuni.
 
Back
Top Bottom