Habari aza weekend waku,
Siku zote hujiuliza,mapenzi ya dhati yanapimwaje? baada ya tafakari ya muda mrefu nikagundua kuwa,mapenzi ya dhati huonekana mpenzi anapokerwa na mpenzi wake.
Kwasababu wakati mnaporidhishana,wote mtafurahi hata kama kuna mapenzi ya kinafiki baina yenu.Lakini pale mmoja anapokerwa hudhihirika ukweli wa mapenzi yake kwa mkeraji,kutokana na reaction atakayoichukua.
Kama Kweli unanipenda kwa nini usinisamehe ninapokosea? Kwani na wewe kuna siku utakosea utahitaji msamaha wangu.Nakupenda mpenzi kama kweli ulitaka kujiuwa kwa ajili ya kunipenda,kwa nini usiwe tayari kufa kwa kuvumilia kero zangu.