Yamenishinda naweza nikaua mtu bure

Yamenishinda naweza nikaua mtu bure

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,209
Acha tu now nidili na kuzidi kujiongezea kipato changu mapenzi sasa basi inatosha sasa naweza nikaua mtu familia yangu ikapata tabu
mtu unampa kila kitu,unamsaidia kila kitu mwisho wa siku yeye anakupa maamivu tu ndo zawadi yako wenzangu endeleeni nayo mimi sasa basi
 
Mkuu unauzungumzia mchepuko?
Maana kama una familia yako nachukulia una mume/mke, sasa huyo anaesumbua ni kichochoro nini!
 
Pole sana but huo ni mwanzo tuu na ndo shida ya mapenzi ya "that" this days ni mwendo wa mapenzi ya "this" tuu
 
akiii...yaani udhamirie kuua mtu kisa mapenzi!!!
 
Pamoja wangu maana duh mwenyewe jasho linanitoka
 
Kwanza nikupe pole mkuu...
ila swal la mapenz nakushaur utulie sana unapotafuta mtu...hawa dada zetu weng cku hiz hawajielewiiiiiii...
 
Waachie wenyewe, wewe katafute pesa kwanza
 
omba Mungu akupe atakaye kufaa na kuendana nawe.we mkuu...
 
Wee nawe haueleweki humu kama uliamua basi sasa unatuambia sie tukufanyaje wakati hatujui yaliyokukuta wala ulipoanzia...mbona haujaja humu kutiambia unatongoza...toa ----- wako hapa!!!
 
Pole, achana naye then jipe muda utapata Wa kufanana naye.
 
Mkuu unauzungumzia mchepuko?
Maana kama una familia yako nachukulia una mume/mke, sasa huyo anaesumbua ni kichochoro nini!

ni mpenzi tu ambaye nimemchagua kua mke wangu wa badae familia namaanisha baba angu na mama angu pia wadogo zangu
 
Kwanza nikupe pole mkuu...
ila swal la mapenz nakushaur utulie sana unapotafuta mtu...hawa dada zetu weng cku hiz hawajielewiiiiiii...

Asante mkuu nyie endeleeni kufaidi tu
 
Wee nawe haueleweki humu kama uliamua basi sasa unatuambia sie tukufanyaje wakati hatujui yaliyokukuta wala ulipoanzia...mbona haujaja humu kutiambia unatongoza...toa ----- wako hapa!!!

sikulaumu wewe nalaumu akili yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom