Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,439
- 872,036
Hiki ndio kipindi chake, huruma kwa singles hata madadapoa kipindi hiki ndio kipindi cha biashara hali ya hewa inawafavor wanandoa hata kama walikuwa wanagawana vitanda kipindi hiki huahirisha ugomvi na mapenzi kuchanua upya.
Nani asiyependa kumbatio? Hali ya hewa hii na kibaridi hiki hata wale wagumu wanayeyuka, gesti house hazilali njaa.Ni kipindi cha kupanda mbegu matokeo ni kuanzia July ndimu maembe mabichi udongo na mbilimbi vitakapopanda bei.