Jua haya kuhusu mapenzi na ngono huko Marekani part 2

Jua haya kuhusu mapenzi na ngono huko Marekani part 2

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
-Ikiwa huku bongo bikra inatafutwa kwa tochi na wanaume wakilaumu kutokupata mabinti bikra,huko Iran kuoa binti asie na bikra ruksa kumuacha siku hiyo hiyo, hali ni atofauti huko Guam, ni marufuku binti kukutwa na bikra siku ya kuolewa, binti akikutwa na bikra ni kosa kisheria, hivyo kuna watu maalumu wanalipwa na mabinti kutoa bikra. Mimi mwenyewe nina mpango wa kuhamia Guam.

-Punyeto ni kosa kisheria Indonesia,ukikutwa adhabu yake ni kifo cha kutenganisha mwili na kiwiliwili,wale wa Chama cha wapiga punyeto Tanzania (CHAPUTA) hapa wote mngekua kaburini.

-Hong kong mwanamke anaruhusiwa kisheria kumuua mme wake mzinzi,sharti amuue kwa mikono yake mwenyewe.

- Ni marufuku mwanamke kunyoa(Vuzi,nywele,kwapa) bila kibali cha mumewe,akikutwa ni jele, ni huko Michigan, marekani

-Ni kosa kisheria mume kulala na mke wake mjamzito bila ruhusa ya maandishi ya mwanamke,ukikutwa ni jela

-Huko ufilipin0, hakuna talaka,ukioa au kuolewa ni hadi kufa na huyo mwenzako,kua makini kwenye kuchagua. Ni kosa kisheria kwenda mahakamani kudai talaka,unaweza kuishia jela.

-Ni ruksa kisheria kumpiga mkeo angalau mara moja kwa mwezi, ni huko Arkansas, marekani

-Ni kosa kisheria mwanaume mwenye mustachi kumbusu mwanamke hadharani,ukikutwa ni jela, ni huko Massachusetts marekani.

-Huko Utah marekani, unaruhusiwa kumuoa binamu yako ikiwa tu umefikisha miaka 65.

-Huko Utah marekani mwaaume anaweza kuwekwa ndani kwa makosa ya mke wake,ni halali kisheria mwanaume kuwekwa lokapu kwa makosa ya mkewe.

-Huko India mwanaume ukiwa unadaiwa, ni ruksa kisheria kulipa mdeni wako mke wako,yaani unampa mtu anaekudai mke wako na deni linakua limeisha.

- Huko Florida ni marufuku kujamba hadharani kuanzia sa 12 jioni siku ya alhamisi,ukikutwa ni jela.

-Huko Uswizi ni marufuku kwenda haja kubwa kuanzia saa 4 usiku,kama unaharisha ukaombe kibali polisi.

-Huko Alabama,mwanamke akipoteza kwenye mchezo wa pool table,anaruhusiwa kisheria kumlipa yule aliemshinda penzi

Chanzo: Dribbleglass.com--Strange Sex Laws, Weird Funny Laws About Sex and Sexuality

67 Ridiculous Laws From Around The World That Still Actually Exist | Thought Catalog
 
hiyo ya mwisho ya Alabama ije bongo..nitajifunza pool table.na kuwa fundi
 
Hiyo ya Massachusetts nimeipenda sana........limtu linawasha......linakung'angania kukubusu..........na hiyo ya Utah kuhusu madeni pia si mbaya.... ije huku hivi vikoba na kibati vinatukimbiza mji na matatizo lukuki..........
 
Back
Top Bottom