Mimi ni kijana wa kitanzania, ninayefanya kazi moja ya makampuni makubwa hapa Tanzania, nilikutana na msichana fulani muda sasa, nilijenga mazoea nae na baada ya muda nilipata nafasi ya kuwa nakaa nae nabadilisha mawazo naye na mwisho tukazoeana ingawa hakujua nini nilikuwa nawaza katika akili yangu,
Huyu binti alikuwa anafanya kazi maeneo ya karibu na ofisi zangu hivyo kumuona haikuwa shida, baada ya muda nilijua ni nini anataka katika maisha, nilimwanbia aache kazi baada ya kuniambia kuwa anasumbuliwa na boss wake, alikubali na kuacha kazi, baada ya muda tulifungua biashara pamoja, alikuwa mtu wangu na ukweli kuna mambo nilikuwa siyaelewi kwani hakuwa tayari kuexpose maisha yake, biashara alianza kupeak, alionekna binti mzuri ingawa ana upungufu wake,
Bada ya muda na penzi lake kukolea kwangu, nilipata taarifa kuwa huyu binti tayari amechumbiwa na wapo dakika za mwisho kuolewa, nilishutuka sana baada ya kusikia, nilipomuuliza alinipa habari nyingi sana na kusema kuwa yeye hayuko tayari kuolewa kwani moyo wake hauna amani. ilikuwa sekeseke kubwa sana na alicha kuja kazini lakini sikuacha kuwa naye karibu kwani wazazi na familia yake walimgeuka kabisa, alinifanya mimi ndo kimbilio lake, nilitumia muda mwingi sana kumsupport ili asiathirike kisaikolojia. Niliumia sana kwa ssababu nishatumia pesa nyingi sana kulingana na mfuko wangu na biashara zangu pia, lengo langu lilikuwa anisaidie kampuni yangu isimame.
Ugomvi ulikuwa mkubwa sana na nilishindwa kuelewa kwa nini ameamua kufanya hivi>? je nikumuoa hawezi kunigeukakama alivyogeuka na kukana maamuzi yake? ingawa sikuwa na lengo la kumuoa.
Ombi langu kwake nimemsihi sana aniache na aendele na maisha yake lakini amekomaa kabisa akisema ananipenda na hawezi kuishi bila mimi, wazazi wake hawanitaki, mimi mwenyewe sina lengo la kumuoa kwa namna ambavyo nimemchunguza na kumuona si mwanamke anyeweza kutulia ndani ya familia, ukizingatia ni nshomile family. wanahabari wenzangu naomba mnishauri nimfanye nini huyu dada>? sitaki kabisa ukaribu wake tena, nina mambo yangu na maisha yangu pia kwa sasa, nataka niwe huru na msichana wangu ambaye nahisi atakuwa mama wa wanangu. naomba ushauri.
huu ndiyo ushauri unaomfaa huyu .. yani wa kushangaliwa ni yeye alafu eti yeye ndiyo anashangaa na kuuliza maswali ya mfalme juha hapa..Makubwa,umuachishe kazi mwenzio asimamie biashara yako,imesimama ndo waona hafai,mhhhhh ngoja nikuache kwanza,kama we mwanaume kweli mpe hiyo kampuni halafu wewe anza moja na huyo mama wa mtoto wako mtarajiwa.
Mimi ni kijana wa kitanzania, ninayefanya kazi moja ya makampuni makubwa hapa Tanzania, nilikutana na msichana fulani muda sasa, nilijenga mazoea nae na baada ya muda nilipata nafasi ya kuwa nakaa nae nabadilisha mawazo naye na mwisho tukazoeana ingawa hakujua nini nilikuwa nawaza katika akili yangu,
Huyu binti alikuwa anafanya kazi maeneo ya karibu na ofisi zangu hivyo kumuona haikuwa shida, baada ya muda nilijua ni nini anataka katika maisha, nilimwanbia aache kazi baada ya kuniambia kuwa anasumbuliwa na boss wake, alikubali na kuacha kazi, baada ya muda tulifungua biashara pamoja, alikuwa mtu wangu na ukweli kuna mambo nilikuwa siyaelewi kwani hakuwa tayari kuexpose maisha yake, biashara alianza kupeak, alionekna binti mzuri ingawa ana upungufu wake.
Bada ya muda na penzi lake kukolea kwangu, nilipata taarifa kuwa huyu binti tayari amechumbiwa na wapo dakika za mwisho kuolewa, nilishutuka sana baada ya kusikia, nilipomuuliza alinipa habari nyingi sana na kusema kuwa yeye hayuko tayari kuolewa kwani moyo wake hauna amani. ilikuwa sekeseke kubwa sana na alicha kuja kazini lakini sikuacha kuwa naye karibu.
Kwani wazazi na familia yake walimgeuka kabisa, alinifanya mimi ndo kimbilio lake, nilitumia muda mwingi sana kumsupport ili asiathirike kisaikolojia. Niliumia sana kwa ssababu nishatumia pesa nyingi sana kulingana na mfuko wangu na biashara zangu pia, lengo langu lilikuwa anisaidie kampuni yangu isimame. Ugomvi ulikuwa mkubwa sana na nilishindwa kuelewa kwa nini ameamua kufanya hivi.
Je nikimuoa hawezi kunigeukakama alivyogeuka na kukana maamuzi yake? ingawa sikuwa na lengo la kumuoa. Ombi langu kwake nimemsihi sana aniache na aendele na maisha yake lakini amekomaa kabisa akisema ananipenda na hawezi kuishi bila mimi, wazazi wake hawanitaki.Mimi mwenyewe sina lengo la kumuoa kwa namna ambavyo nimemchunguza na kumuona si mwanamke anyeweza kutulia ndani ya familia.
Wanahabari wenzangu naomba mnishauri nimfanye nini huyu dada? Sitaki kabisa ukaribu wake tena, nina mambo yangu na maisha yangu pia kwa sasa, nataka niwe huru na msichana wangu ambaye nahisi atakuwa mama wa wanangu.
Naomba ushauri.
Ndugu zangu naomba mnielewe, katika mazungumzo naye sijawahi kumpromise nitamuoa, ninachoomba ni jinsi gani naweza kuzuia asiendeleze ukaribu na mimi, pamoja na hayo huyu binti soon anaolewa lakini bado anaonesha interest na mimi, hiki kitu sitaki mimi, nataka atulie na maisha yake.
kama hukutaka kumuoa kwa nini ulimwachisha kazi? alafu mkafungua biashara pamoja? alafu mkavuana nguo kuunganisha makojoleo?Ndugu zangu naomba mnielewe, katika mazungumzo naye sijawahi kumpromise nitamuoa, ninachoomba ni jinsi gani naweza kuzuia asiendeleze ukaribu na mimi, pamoja na hayo huyu binti soon anaolewa lakini bado anaonesha interest na mimi, hiki kitu sitaki mimi, nataka atulie na maisha yake.
acha majibu mepesiKazi aliacha siku nyingi sana!
Baada ya wewe kumshauri aache!!!! na ulikuwa huna mpango nae tangu unkuwa nae au baada ya kusikia anataka kuolewa???????Kazi aliacha siku nyingi sana!
Shehe unatafuta kurogwa.Ndugu zangu naomba mnielewe, katika mazungumzo naye sijawahi kumpromise nitamuoa, ninachoomba ni jinsi gani naweza kuzuia asiendeleze ukaribu na mimi, pamoja na hayo huyu binti soon anaolewa lakini bado anaonesha interest na mimi, hiki kitu sitaki mimi, nataka atulie na maisha yake.
Shehe weye watakiwa kuzinguliwaMimi ni kijana wa kitanzania, ninayefanya kazi moja ya makampuni makubwa hapa Tanzania, nilikutana na msichana fulani muda sasa, nilijenga mazoea nae na baada ya muda nilipata nafasi ya kuwa nakaa nae nabadilisha mawazo naye na mwisho tukazoeana ingawa hakujua nini nilikuwa nawaza katika akili yangu,