WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Hizi ndio aina 3 za "rings" za ndoa za siku hizi:
1. ENGAGEMENT RING
2. WEDDING RING na
3. SUFFERING
Mkuu ndio maana wenzetu wazungu wanaita "Wedding Ring" na sio "Marriage Ring", ikiwa inamaanisha mariage or ndoa ni kitu kipana zaidi, na hakimaanishi ile siku bali life time since ile siku anasema YES mpaka unaji commit.Engagement ring sio pete ya ndoa
iyo yenye red inavaliwa na wengi sana
Hizi ndio aina 3 za "rings" za ndoa za siku hizi:
1. ENGAGEMENT RING
2. WEDDING RING na
3. SUFFERING
iyo yenye red inavaliwa na wengi sana