Ingekuwa ni wewe ungelichukuwa hatua gani kwa huyu mwanamke?

Mr Mr

Member
Sep 25, 2013
34
8
Una mkeo ambapo hamjafanikiwa kupata mtoto kulingana na mipangilio yenu ya kimaisha mliojiwekea. kazi yako ni fundi wa ujenzi ambapo mara nyingi unapata site za mbali na unapoishi kulingana na kazi yako unaenda unakaa huenda kwa siku tatu hadi wiki moja unarudi nyumbani kuingalia familia yako pamoja na mambo mengine. siku moja upo huko kijijini unafanya kazi ambayo iliisha haraka tu ukamuambia mkeo kuwa kesho nitarudi asubuhi kutokana na muda huo hakuna usafili wa kuelekea mjini unapoishi. lakini kwa bahati nzuri siku hiyo jioni ulipo maliza kazi bosi wako akaja site na gari yake ikiwa ni pamoja na kukulipa malipo yako ya kazi ulioifanya. baadae alipotaka kuondoka kurudi mjini ukamuomba lifti ili uondoke nae jioni hiyo kwenda mjini ili ukalale nyumbani kwako, akakubali mkaondoka hapo site mida ya saa moja na nusu jioni. wakati ukiwa njiani kuelekea nyumbani ukawa unampigia simu mkeo ili umualifu kuwa umepata usafiri na upo njiani kwenda nyumbani lakini simu yake ikawa inaita tu bila kupokelewa hadiukafika mjini mida ya saa tatu usiku. kwakuwa ulikuwa na hela ukaamua kupita gengeni ili kuhemea baadhi ya mahitaji ya nyumbani. lakini ulipofika nyumbani kwako mida ya saa tatu na nusu usiku ukakuta mlango umerudishiwa ulipousukuma ukafunguka. ulipoingia chumbani ukakuta simu ya mkeo ipo kwenye chaji na zile missed call zako zimo lakini mkeo hayumo ndani. basi ukachukuwa maji ukaoga ulipomaliza ukaamua kujilaza kitandani. mida ya saa nne na nusu ukasikia mlango unafunguliwa ukafunguka kwakuwa na wewe uliuegeshea tu. alikuwa ni mkeo. alipoingia ukasikia anachota maji akanywa vikombe vinne kisha akajirusha kwenye kochi hapo sebureni kwa nguvu na kusema OHUUUUUUU……………………………! wakati huo hajaingia chumbani na wewe ukiwa umejilaza kitandani. kisha ukasikia anasema maneno haya "DUH HUKU NDO KUTOMBWA ACHA HII NGURUWE YANGU HUWA INANISHIKASHIKA HUMU NDANI" Je ikwa ndo wewe ungefanyaje? wadau tusaidiane mawazo.
 
Mmmmmmmmhhhh ntawaza alafu ntaona ni msamehe tuu "No one is perfect" lol maisha hayana kanuni
 
Ndio ujifunze kuto**a sasa........

Anyway nje ya mada.... jifunze matumizi ya "l" na "r"
 
Kaka kosa ni lako kwa kuto mpa vitu mpaka aombe poo! kumbuka sio dada yako huyo.suluhisho ongea nae anza kumgaragaza bila huruma na uwe unahakikisha ana rizika yeye kwanza ndio unamaliza wewe mwanamke hawezi fanya hivyo kama unampiga ipasavyo na wakipata hiyo dawa vizuri ni watulivu sana.
 
Nitayafanyia kazi maneno ya "mai waifu" ima kwa kutafuta mkuyati. au kwenda kuchachwa chale ya fisi maji.
 
Sasa wewe fundi kujenga unashindwa kumbandua mkeo sawia je hao vibosile wa chips na mayai watakuwajeee......simamia mwananguuuu mpaka mkeo acheue maziwa aliyonyweshwa na mamaeeee utotoni...dadadadadadadadadaddadadadadaddddeeekiii....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom