Kumtamani mwanamke ni kutamani viungo vyako

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Vijana wengi aamekuwa wakipata shida sana juu ya viungo vya mwanamke kama vile matiti, hips nk. Sasa basi hivyo viungo vyote ni vya kwetu sisi isipokuwa ni MUNGU tu aliamua kugawa ili kutupunguzia na kuwapa hao wanawake.

Pale alipomtoa mwanamke ubavuni mwa adamu. Sasa kwanini unavitamani? Je, unaweza kupenda pua yako? Au Vidole vyako?Au shingo yako? Hata ukaihonga hela?

Badilika jamani tumpende MUNGU na tupende mafanikio
 
Vijana Wengi Wamekuwa Wakipata Shida sana juu ya viungo vya mwanamke kama vile matiti, hips nk. sasa basi hivyo viungo vyote ni vya kwetu sisi isipokuwa ni mungu tu aliamua kugawa ili kutupunguzia na kuwapa hao wanawake.

pale alipomtoa mwanamke ubavuni mwa adamu. SASA LEO Kwa Unavitamani? Je,unaweza Kupenda Pua Yako?Au Vidole Vyako?Au Shingo Yako? Hata Ukaihonga Hela?? Badilika Jamani Tumpende Mungu Na Tupende Mafanikio

Dah! kwahiyo ukimpenda na kumtamani mwanamke huwezi kumpenda Mungu wala mafanikio?
 
sasa kwa nini unahonga na kununua viungo vyako mweoyewe, mungu anaweza kuwarudishia ivyo viungo muwe navyo tena kama matiti, izo hips alafu tume kama utajitamani, je mungu arudishe????
 
Vijana Wengi Wamekuwa Wakipata Shida sana juu ya viungo vya mwanamke kama vile matiti, hips nk. sasa basi hivyo viungo vyote ni vya kwetu sisi isipokuwa ni mungu tu aliamua kugawa ili kutupunguzia na kuwapa hao wanawake

pale alipomtoa mwanamke ubavuni mwa adamu. SASA LEO Kwa Unavitamani? Je,unaweza Kupenda Pua Yako?Au Vidole Vyako?Au Shingo Yako? Hata Ukaihonga Hela?? Badilika Jamani Tumpende Mungu Na Tupende Mafanikio

Amin..............
 
sasa kwa nini unahonga na kununua viungo vyako mweoyewe, mungu anaweza kuwarudishia ivyo viungo muwe navyo tena kama matiti, izo hips alafu tume kama utajitamani, je mungu arudishe????

Hahaha SMH. Kuhonga ni kawaida kwa kila mwanaume, tumekupa utambulisho tofauti kila mtu kwa utashi wake. Kununua ni utaratibu wa jamii zetu za kiafrika, lazima Mwanaume amlipie mahari Mwanamke anayetaka kumuoa.

Sijawahi kusikia Mungu akizungumzia habari za kuturudishia viungo, wala sidhani kama ana msemaji maalum aliyemtuma kusemea hilo, so i can't comment on speculations.
 
Vijana wengi aamekuwa wakipata shida sana juu ya viungo vya mwanamke kama vile matiti, hips nk. Sasa basi hivyo viungo vyote ni vya kwetu sisi isipokuwa ni MUNGU tu aliamua kugawa ili kutupunguzia na kuwapa hao wanawake.

Pale alipomtoa mwanamke ubavuni mwa adamu. Sasa kwa unavitamani? Je,unaweza kupenda pua yako? Au Vidole vyako?Au shingo yako? Hata ukaihonga hela? Badilika jamani tumpende MUNGU na tupende mafanikio

Sasa kama Mungu aliamua kutupunguzia kwanini sisi vyetu ni vikubwa na vizuri zaidi? bora angeacha nyie ndo muwe na wowowo na chuchu sa 6, sio sisi tulioazimwa,
 
na sisi tunaopenda papuchi unataka kusema zilikua kwetu!???
 
we ndugu umefikiria nini hasa maana sijakupata vizuri, kwahiyo nikipiga puli nimeipenda mikono yangu mwenyewe au
 
Vijana wengi aamekuwa wakipata shida sana juu ya viungo vya mwanamke kama vile matiti, hips nk. Sasa basi hivyo viungo vyote ni vya kwetu sisi isipokuwa ni MUNGU tu aliamua kugawa ili kutupunguzia na kuwapa hao wanawake.

Pale alipomtoa mwanamke ubavuni mwa adamu. Sasa kwanini unavitamani? Je, unaweza kupenda pua yako? Au Vidole vyako?Au shingo yako? Hata ukaihonga hela?

Badilika jamani tumpende MUNGU na tupende mafanikio

Your point being nini hapa?
 
Vilikua vyetu ndio lakini saizi sio vyetu,
Hata mungu anajua tunatamaniniana.
Ndio maana anasema tuoane.

Tofauti zetu zina fanya tuhitajiane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom