Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 361
Habarini wakuu,
Kifupi mimi naamini uwe na hofu ya MUNGU, Mlokole, Mtumishi au usiye mlokole, kabla ya kumpenda mwanamke lazima utakuwa umemtamani na zaidi tunaanza kutamani sura, umbile na sauti.
Pia wengi tunajenga image kichwani kuwa hivi nikiwa naye pale kitandani kwa style ile itakuaje? Na kutamani ndio kunatufanya tutongoze, iwe ni nyumbani kwao, barabarani, hotelini au popote tunatamani kabla ya kupenda kwa kuzingatia tabia.
Nawasilisha